Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mti umekauka sana kiasi cha kuanza kuangusha matawi na kuleta taharuki, wananchi wamejaribu kuomba wahusika waukate lakini wamekaa kimya, wanadhani wanasubiri ulete maara ili iundwe tume wapige pesa.
Chini ya huo mti kuna mgahawa watu wanajipatia mahitaji yao ya chakula, pia kuna nyaya za umeme mkubwa unaoelekea Kijenge hadi Usa River.
Magari pia yanapaki jirani na mti hu0. Utaua watu.