Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Aione:Tanesco
Rubbish.Ahsante, tunaomba majina yako matatu, namba ya simu na eneo unaloishi, tutafatilia kwa ukaribu.
Shukran sana.
Umesemaje hapo emu fafanua vizuri sijakuelewaAhsante, tunaomba majina yako matatu, namba ya simu na eneo unaloishi, tutafatilia kwa ukaribu.
Shukran sana.
Sarcastic.... Huelewi Nini?Umesemaje hapo emu fafanua vizuri sijakuelewa
Elezea hapo umeandika niniSarcastic.... Huelewi Nini?
Amefanya dhihaka/kejeli / kebehi...Elezea hapo umeandika nini
Yaani ametudharau au sio kwa hio TANESCO hua wanafanya hivyo wanaposema tunaomba majina yako matatu, namba ya simu na eneo unaloishi, tutafatilia.. hua wanatuletea kejeli/kebehi/dhihaka au sio?Amefanya dhihaka/kejeli / kebehi...
πππ€¨π€¨π€¨π€¨ππAhsante, tunaomba majina yako matatu, namba ya simu na eneo unaloishi, tutafatilia kwa ukaribu.
Shukran sana.
Hujawahi ripoti tarizo lako kwenye page zao unajieleza vizuti kila kitu still reply yao huwa ni hiyoπ πYaani ametudharau au sio kwa hio TANESCO hua wanafanya hivyo wanaposema tunaomba majina yako matatu, namba ya simu na eneo unaloishi, tutafatilia.. hua wanatuletea kejeli/kebehi/dhihaka au sio?
Rubbish.
Umesemaje hapo emu fafanua vizuri sijakuelewa
Hujawahi ripoti tarizo lako kwenye page zao unajieleza vizuti kila kitu still reply yao huwa ni hiyoπ π
Are u serious!?Wahusika ni akina nani?
Kama ni sirikali, sirikali ni wananchi hivyo yeyote anaye unaleta tishio kwa watu na mali zao na aukate.