mnafuga majambaziHiyo title ibadilishwe haifai kabisa
Sidhani! Ila ni kwa sababu ya upuuzi wetu watz basi tutauliwa sana. Yaani we can't open argue WHY WAS KILLED?!Hivi ruhusa ya polisi kuua iko kisheria?
Mkuu kupata vithibitisho wakati mwingn ni vigumu hasa ukizingatia ni instant issue na inahitaji maamuzi ya chap la sivyo tutasikia vifo vya maaskari wengi na uhalifu kwa ujambazi kuendelea kukua,Nakuelewa mkuu, miaka hii ya karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la polisi kuwaua majambazi huku bila vithibitisho vya kurushiana risasi ama purujushani.
Sasa inaleta wasiwasi wa kama mauaji hayo ni genuine.
ItakuwaKakurwa?
wapi hujaelewa?Hiyo title ibadilishwe haifai kabisa
Kwahiyo ni mtoto wa yule kada mropokaji? Wekeni picha basi.anafanana copy right na baba yake.
Sasa hizo bunduki walizokabidhiws ni za kufanyia maigizo?Hivi ruhusa ya polisi kuua iko kisheria?
Ndio mkuu ila kwa Akina Bashiru tuuHivi ruhusa ya polisi kuua iko kisheria?
Swali lake lina mashiko, jibu kimashikoSasa hizo bunduki walizokabidhiws ni za kufanyia maigizo?
NdiyoHivi ruhusa ya polisi kuua iko kisheria?
Mkuu, wasingekuwa wanaruhusiwa kuua kisheria wasingelikabidhiwa hizo bunduki.Swali lake lina mashiko, jibu kimashiko
Na ruhusa ya jambazi kuua ikoje kisheria?Hivi ruhusa ya polisi kuua iko kisheria?
KumekuchaJeshi la Polisi mkoani Arusha limewaua watuhumiwa wawili wa ujambazi eneo la kata ya Moshono jijini Arusha. Aidha, Kamanda wa jeshi hilo mkoa wa Arusha, Salum Hamdun amesema askari waliweka mtego na kufanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja aliyetambulika kwa jina la Bashiru Ally(45)