Arusha: Mtu mmoja anaswa kwa tuhuma za ujambazi, wawili wauawa na Jeshi la Polisi

Arusha: Mtu mmoja anaswa kwa tuhuma za ujambazi, wawili wauawa na Jeshi la Polisi

Mkuu, wasingekuwa wanaruhusiwa kuua kisheria wasingelikabidhiwa hizo bunduki.

Serikali inapokukabidhi bunduki bila kukupatia kibali cha kuitumia kwa kuua hayo yatakuwa ni maigizo kama yalivyo maigizo mengine, Mungu tena!
Sio kila mharifu unatumia bunduki mzee.
 
Duh. Kumbe sio yeye. Siku nyingine mtoe tahadhari mapema kwamba mtajwa sio yule.
 
Mkuu kupata vithibitisho wakati mwingn ni vigumu hasa ukizingatia ni instant issue na inahitaji maamuzi ya chap la sivyo tutasikia vifo vya maaskari wengi na uhalifu kwa ujambazi kuendelea kukua...
Huwa nafikiria hali kama ile ya akina Christopher Bageni ,nahisi wengi wawanaoitwa majambazi ni kuwa huwa wao ndio wanaofanyiwa ujambazi
 
Duh. Kumbe sio yeye. Siku nyingine mtoe tahadhari mapema kwamba mtajwa sio yule.
Hakuna aliyekanusha na kwakuwa hakuonyeshwa sura on public na umri wake unaenda na na tumjuae basi wewe endelea kula mtori nyama utazikuta chini
 
Kuna jambazi mwingine Bashiru wa kijani wa pale Lumumba wanamuita Katibu
 
Kujihami inaruhusiwa
Hapa inaonekana kuna polisi wanaitumia vibaya hyo ruhusa. Katika miaka ya karibuni mauaji ya aina hii yamekuwa mengi sana na napenda niongeze nukta kidogo sana huwa yanahusisha ama waislamu au wenye majina ya kiislamu. Muhimu ya taarifa hizi ni kuwa siku zote wanaouliwa na polisi waliuliwa walipokuwa wakikimbia baada ya kuachiwa.Na hakuna hata siku moja polisi wakajeruhiwa.
Kama huyo Bashiru walitoka naye huko walikotoka na aliwapa ushirikiano mzuri lakini eti alipofika walipo wenzake akapiga kelele kuashiria kuna polisi na zilipopigwa risasi hewani akaendelea kukimbia.Mtuhumiwa kama huyo anakuwa anatafuta salama yake zaidi kuliko kupambana na polisi na lazima atakuwa amechoka sana kwa njaa na mateso hana nguvu za kukimbia polisi.Polisi hata aliyekuwa si mkakamavu sana angemkamata kwa mikono.Na kama akiendelea kukimbia polisi asiyekuwa na shabaha vizuri pia anaweza kujifunzia kwake kumpiga ya miguu.Yule Mohamed naye kama alijeruhiwa sana karibu ya kufa asingekuwa na maelezo ya fasaha idadi ya bunduki wanazotumia na kutaja majina ya wenzake na pahala silaha ilipodondoka na baada ya kusema hayo akafa.Inaonekana pamoja na kujeruhiwa alikuwa na akili timamu kwa hivyo angalau angefia hospitalini.Inatia shaka kwa sababu wenzake huko nyuma walishakufa wengi wakipelekwa hospitali.
 
Back
Top Bottom