Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwa wenye Imani huwa tunaangalia Ishara mbalimbali
leo katika uwanja wa Shekh Amri Abedi mheshimiwa Rais Samia Suluhu alihutubia wananchi kuhusu maswala ya Usalama barabarani
Mara baada ya hotuba yake na wakati anaelekea kuondoka lilitokea wingu kubwa na baadaye Mvua ikanyesha
Wana imani iwe ya dini au ile ya kimila mna maoni gani?
Mungu anampa warning kwamba wamtegemee yeye na waache kumsingizia Magufuli..Kwa wenye Imani huwa tunaangalia Ishara mbalimbali
leo katika uwanja wa Shekh Amri Abedi mheshimiwa Rais Samia Suluhu alihutubia wananchi kuhusu maswala ya Usalama barabarani
Mara baada ya hotuba yake na wakati anaelekea kuondoka lilitokea wingu kubwa na baadaye Mvua ikanyesha
Wana imani iwe ya dini au ile ya kimila mna maoni gani?
Una akili ndogo kama JPM aliyekataa kuwa kuna Corona hatimaye ikafyeka yye, kijazi na wapumbavu wengine pale magogoni.Kwa wenye Imani huwa tunaangalia Ishara mbalimbali
leo katika uwanja wa Shekh Amri Abedi mheshimiwa Rais Samia Suluhu alihutubia wananchi kuhusu maswala ya Usalama barabarani
Mara baada ya hotuba yake na wakati anaelekea kuondoka lilitokea wingu kubwa na baadaye Mvua ikanyesha
Wana imani iwe ya dini au ile ya kimila mna maoni gani?
Waomba uchuro watanuna shetani wao hajawasaidia 😂😂Kwa wenye Imani huwa tunaangalia Ishara mbalimbali
leo katika uwanja wa Shekh Amri Abedi mheshimiwa Rais Samia Suluhu alihutubia wananchi kuhusu maswala ya Usalama barabarani
Mara baada ya hotuba yake na wakati anaelekea kuondoka lilitokea wingu kubwa na baadaye Mvua ikanyesha
Wana imani iwe ya dini au ile ya kimila mna maoni gani?
Mbona hayo maombi yao huwa hawazuii mafuriko na viongozi wa juu wasiugue.Imani za kipuuzi uache. Mvua zimeshaanza kwa baadhi ya maeneo. Ndo msimu wake na wala haina uhusiano wowote na hicho unachotaka watu waamini.