ARUSHA: Mvua yanyesha mara baada ya hotuba ya Rais Samia

Mimi sikuleta mafuriko”

Na huyu mnasema kaleta mvua
Imani au mapenzi
 
Kwa wenye Imani huwa tunaangalia Ishara mbalimbali

leo katika uwanja wa Shekh Amri Abedi mheshimiwa Rais Samia Suluhu alihutubia wananchi kuhusu maswala ya Usalama barabarani

Mara baada ya hotuba yake na wakati anaelekea kuondoka lilitokea wingu kubwa na baadaye Mvua ikanyesha

Wana imani iwe ya dini au ile ya kimila mna maoni gani?

Mama Ameleta Mvua;
 
Mungu anampa warning kwamba wamtegemee yeye na waache kumsingizia Magufuli..
 
Kwa wenye Imani huwa tunaangalia Ishara mbalimbali

leo katika uwanja wa Shekh Amri Abedi mheshimiwa Rais Samia Suluhu alihutubia wananchi kuhusu maswala ya Usalama barabarani

Mara baada ya hotuba yake na wakati anaelekea kuondoka lilitokea wingu kubwa na baadaye Mvua ikanyesha

Wana imani iwe ya dini au ile ya kimila mna maoni gani?
Una akili ndogo kama JPM aliyekataa kuwa kuna Corona hatimaye ikafyeka yye, kijazi na wapumbavu wengine pale magogoni.
R.I.P bwana Hamza
 
Kwa wenye Imani huwa tunaangalia Ishara mbalimbali

leo katika uwanja wa Shekh Amri Abedi mheshimiwa Rais Samia Suluhu alihutubia wananchi kuhusu maswala ya Usalama barabarani

Mara baada ya hotuba yake na wakati anaelekea kuondoka lilitokea wingu kubwa na baadaye Mvua ikanyesha

Wana imani iwe ya dini au ile ya kimila mna maoni gani?
Waomba uchuro watanuna shetani wao hajawasaidia 😂😂
 
Jina hubeba future ya mtu.

Nilisema hapa kwenye uzi uliodai kuja mvua zinanyesha hivyo zisihusishwe na mtu wao. Nikasema huko daslam anakoishi na kulala mara nyingi hakuna mvua ila jitu linajofanya halielewi
 
Imani za kipuuzi uache. Mvua zimeshaanza kwa baadhi ya maeneo. Ndo msimu wake na wala haina uhusiano wowote na hicho unachotaka watu waamini.
Mbona hayo maombi yao huwa hawazuii mafuriko na viongozi wa juu wasiugue.
Mwachieni Mungu na ratiba zake
 
Acheni upuuzi wa kukuza watu kuliko Mungu, watu tumemuomba Mungu mvua na ametujibu maombi yetu
 
Back
Top Bottom