Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Mungu amlaze mahali pema.. Huu Ndo ulikua wakati wake wakutoka.. wimbo wa salome umefanya vizuri ndan na nje ya nchi
 
358b56de15b154503bf882846e91038e.jpg
mwanzo wa nyimbo anaonekana hivi na yy ndio alikuwa muhusika mkuu katika vidio kwa upande wa mamodel
 
Ingekua nchi za wenzetu leo ingekua barabara zimefunga kwa maandamano,hapa kwetu midada ipo bize kwenye vioo ni kujipodoa tu na kusema r.i.p,sura zenyewe zinapodolewa lakini still zinafanana na za kwetu wanaume,jinga sana.
 
Tunachokiamini ni kumpa mfiwa neno la kumfanya awe na imani sio maneno kama hayo unajisikiaje angekuwa dada,mama,shangazi yako afu unasoma maneno kama uliyoandika ww mwenye ubongo uliojaa viloba na bange ambayo unaivuta hali ukiwa na njaa na nuwa linawaka pumbavu zako kama huna cha kukomenti kaa kimya sio unatoa kauli zisizokuwa hata na hofu ya mungu kima wee
jiwe gizani
 
Ila sio sababu yakutoa uhai wa mtu na hata mtu akiumizwa vip sio sababu ya kufanya unyama huo.
Watu wanatofautina katika kutenda mambo. Watu wengine hawawezi kuishi kama wewe unavyotaka na wewe huwezi kuishi kama wao wanavyotaka. Kila mtu yupo sahihi kwa kile anachokiamini yeye kuwa ni sahihi. That is General truth. Hata usipopenda ndivyo ilivyo.
Kumbuka nimesema hapa huwezi jua lolote maana story za pande zote mbili hatujui. Huenda hakubakwa, huenda alipigwa, yani tunaongelea hisia tu kuwa ilikuwa hivi tunafikia hukumu. Hakuna aliyeweka habari kamili ambayo haipendelei upande wowote hapa. Ndio maana sijasema lolote mimi kuhusiana na kilichotokea.
 
Nasikitishwa sana na mawazo ya wanaume wenzangu nayoyaona hapa kwa hi thread. Eti binti inaonekana amevaa vibaya kwasababu kapost picha ndani ya nguo ya beach inaonesha ana uwezo wa kuvaa hizo hizo nje. Kwa kweli wanawake wana haki ya kukaa vyovyote anavotaka bila kubakwa. Hata akikaaa uchi wa mnyama. Kuna wanawake wako india wamebakwa na minguo yao yanacover mwili mzima. Ubakaji sio kosa la mwanamkwe hata siku moja na yeyote atayesupport kwamba alikuwa amevaa vibaya amepita sehemu mbaya ni MJINGA . Binadamu yeyote tuna kila haki ya kuwa safe and secure katika maeneo tunayoishi au kutembea...mtu yeyote anayetuondolea haki hii ni MHALIFU. Naisihi serikali iwape adhabu ya kunyongwa wanaobaka wanawake kwa mfano huu 'gangrape' kukomesha hii tabia Tanzania. hii ni case ya pili ndani ya miezi 18. Nategemea viongozi waje juu kama walivyo kuja juu wakati wa yule mtoto wa mbeya kuchapwa..mpaka wahalifu wanyongwe tu.
WAnawake asiwatishe mtu eti ukivaa kimini utabakwa...kuwa huru vaa upendavyo kama sisi wanaume tulivyo huru kuvaa tupendavyo. asikunyime mtu haki yako ya msingi... na mwaka huu wabakaji wasiposhughulikiwa na serikali watanyongwa mtaani kama wezi wanavyochomwa moto mitaaani

Kuna wanaume wanafki sana kwa kweli, eti atakuwa kala hela ya mtu ndio mana kabakwa wangapi mmewachezea wanawake na kuwapotezea muda na kuwatekelezea watoto. Je mlifanyiziwa? wangapi wamekula hela za wanawake wengi tu. Hamna mtu ana haki ya kuondolewa uhai wake.
 
Kweli ,huyu video Queen wa Salome anaitwa Lilian loti, na siyo Juliana, aliyekufa ni Juliana, Lilian Bado yupo hai
Ile post ya marehemu ndio imechanganya watu...kuna Post marehemu Juliana alipost hiyo picha ya Lilian kwenye video ya Salome na hakusema kama ni LILIAN!!

Aliandika kwamba anafurahi kufanya kazi..halafu juu kulikuwa na picha ya video ya diamond..hapo ndipo watu wengi walimchanganya na LILIAN maskini
 
Ile post ya marehemu ndio imechanganya watu...kuna Post marehemu Juliana alipost hiyo picha ya Lilian kwenye video ya Salome na hakusema kama ni LILIAN!!

Aliandika kwamba anafurahi kufanya kazi..halafu juu kulikuwa na picha ya video ya diamond..hapo ndipo watu wengi walimchanganya na LILIAN maskini
Inasaidia nini kwenye Uchumi wa Viwanda?
 
Tatizo Arusha hamumpi ushirikiano mkuu wa mkoa na kamati yake je usalama wenu utatoka wapi? Kazi siasa na kukosoa utendaji wa Rais
Acha kuhusisha hili suala na siasa we lumumba
 
Back
Top Bottom