ZamdaIssa
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 879
- 1,458
Hiyo post ndio imechanganya watu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo post ndio imechanganya watu sana
We mwenyewe ushaingiza siasaTatizo Arusha hamumpi ushirikiano mkuu wa mkoa na kamati yake je usalama wenu utatoka wapi? Kazi siasa na kukosoa utendaji wa Rais
video queen ile nyimbo wapo weng sana na huyu ndio anaonekana mwanzonUongo mkuu yule video queen wa kwenye wimbo wa diamond_salome anaitwa Hamisa.
Hapana, kinafundisha upigaji vyombo wa cultures mbalimbali na somo hasa la music tena classic ones.chuo cha makumira ni chuo cha kkkt kinafundisha madansa? nilidhani ni kupiga vyombo tu.ila pole sana mdada sijui ni shida gani ilitokea
Acha kuruka ruka wewe... hazihusiani na posts zako kivipi? Post yangu ilikuwa hii hapa:Utaniuliza vipi swali lisilohusiana na post zangu, halafu unategemea nisitilie shaka uelewa wako?
Hivi kwani wewe ni Mmeru? ati kwasababu unamzungumzia msichana wa Arusha Makumira, nikulazimishe kujibu swali hilo unaonaje hapo.
Kama na hapo hujanielewa basi utakuwa na kiwango kidogo sana cha uelewa, sorry najitahidi nisikukwaze lakini naona huenda nikakukwaza ndugu.
Msingi wa post yangu ni justification ya watu kwamba ni ya "kujitakia" kwavile anatembea mwenyewe uchi! Wewe ukani-quote na post yako hii hapa:Sio tu Marehemu hasemwi lakini alichosema hakipo manake amem-judge kwa kuangalia picha aliyopiga beach... sasa sijui ni wasichana wangapi wanavaa madela wakiwa beach.
Ulikuwa unajaribu ku-justify simply because alipiga picha ya mapaja wazi akiwa beach na akai-post FB!Na kabla ya hapo ulishatoa hoja ya ku-justify tukio kwamba limetokana na msichana kuanika maungo wazi! Post yako hii hapa:inamaana wewe ukipiga picha mmadam uko bafuni, na bafuni watu huvua basi ukiiweka mtandaoni ni sawa?
kwamujibu wa maelezo yako ni kwamba hiyo picha kapiga sehemu husika na vazi ila hukuona tatizo ikiwemo kwenye mtandao.
But still, hufahamu lolote kuhusu dressing ya huyo binti zaidi ya hiyo picha ya beach ambayo alii-post FB! Ndipo nikahoji:Hakuna anayetetea ubakaji hapa, tunazungumzia vichocheo vya tukio, bint mrembo halafu mchanga kama anavyoonekana unafikiri rijali gani anaweza pishana naye asigeuke kuona alichojaaliwa nacho, baada ya hapo nini kitafuata?
Badala ya kujibu hoja, ukaishia kusema uelewa wangu mdogo!!!We jamaa mtu wa ajabu sana! Kwahiyo una-assume sio?! Kwamba, kwavile ameweka FB picha aliyopiga beach akiwa mapaja wazi basi hashindwi kutembea akiwa mapaja wazi!! Nimekuuliza, wewe unaweza kubaka kwa ajili ya pic za FB?
kumbe ndio hiyo iliyochanganya watuHiyo post ndio imechanganya watu sana
Sheeeeeenz!Kwamba wanaume ni jokaaa.
Teh teh
hao familia ya kizungu kuna bwana wake paleNilikuwa na muona marehemu kwenye misa ya saa nne pale makumira akiambatana na hiyo familia ya kizungu.......RIP
Hapana nadhani walikuwa wanamlea.....kuwa positive kwanini uwaze kulikuwa na bwana akeehao familia ya kizungu kuna bwana wake pale
Wanasema mwanzoni mwa video kavalia nguo ya kitenge ya njanoAliyekufa alivaa nguo gani kne Huo wimbo?
Haya kamwambie gambo aachane na siasa afanye kazi iliyompeleka, huwez mtenganisha Lema na siasaTatizo Arusha hamumpi ushirikiano mkuu wa mkoa na kamati yake je usalama wenu utatoka wapi? Kazi siasa na kukosoa utendaji wa Rais
Wanasema mwanzoni mwa video kavalia nguo ya kitenge ya njano
unavyoambiwa uwe unaelewa watu tuna uthibitisho ww unao kama alikuwa analelewaHapana nadhani walikuwa wanamlea.....kuwa positive kwanini uwaze kulikuwa na bwana akee
Ok, Nadhani kwa kuwa sura wanafanana fananaNinasikia alievaa ya njano anaitwa Lilian na siyo Juliana,na yupo hai
...hapo unapozungumzia we ni marekani......mi nazungumzia in a Tanzanian context...huyu binti kabakwa TZ si marekani....tuwe wazi na reality...we ukija TZ jaribu kupita na ka mini skirt kako kariakoo uone kama utaachwa....huu ndio uhalisia...hatuko marekani hapa...Mavazi ya mtu au muonekano wa mtu haukupi wewe mamlaka hapa chini na mbiguni kutoa roho ya binadamu mwingine. Watu wanaua wenzao hapo TZ na wala hawanyongwi leo hii huyu binti amevaa nguo ya ufukweni ya heshima kabisa na mnahalalisha kifo chake kwa kumlaumu huyu dada. Nimesikitika sana na huu upumbavu kwa kweli. Hapa Marekani ukilala hata na mke wako kwa kumlazimisha akawaita polisi unashtakiwa kwa kurape. Na ni kifungo cha miaka zaidi ya 20.
Yaani moyo wangu unamajonzi kwa kweli huyu binti amekufa kifo cha kinyama kwa sababu ya mbwa mwitu nyamafu washenzi na watafia jela.