Usipate shida, account yake hii halafu kaangalie mwenyewe kama inafanana na watu wanavyoongea: Juliana Isawafo.Mkuu Instagram alikuwa anatumia Jina gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipate shida, account yake hii halafu kaangalie mwenyewe kama inafanana na watu wanavyoongea: Juliana Isawafo.Mkuu Instagram alikuwa anatumia Jina gani
Ndege wafananao huruka pamoja mkuu. Achana hao wanaokupinga nao ni wale waleMkuu umesema.vizuri kuna comment yangu imeondolewa sijajua tatizo ni kusema ukweli au la
Halaf mkuu watu hawasoma huku na wengi wao ni form 4 failure. Yan hata kutumia zile newton laws of motion wanashindwa kutatua hili tatizo?Huwezi kufa kwa kifo kama hicho halafu kusiwe na kitu nyuma ya pazia
Kwa hiyo wewe utawaruhusu wanao waweke picha zao za utupu mtandaoni sio?Basi subiri Mungu atakuonyesha kati kati ya vizazi vyako, Muubgwana hacheki matatizo ya mtu mwingine hata siku Moja!
Una umri gani mkuu?Watanzania ndio maama hatuendelei kwa kuchunguza maisha ya watu...ht km alikua anaishi maisha ya starehe kumbuka ni yy na hakumuomba mtu hata senti ht km aliomba sio ww..utampangiaje mtu jins ya kuish ww ni nan kwake hata umpangie mtu mavaz yk na kwa nn aishi kwa starehe au la! Ww changia mada km inavyotakiwa sio mara anaish hv mara vile si ni yy na sio ww na hajakuzuia ww usifanye mambo yako apige picha akiwa beach afanye nn ts her life hiini dunia ya utandawazi so watu hawawez ishi km miaka ya zaman otherwise aamue mwenyewe kina muda ufike waTZ tujali mambo yetu binafs maisha ya mtu hayatuhusu find ur own money do ur things thats all!
Madai yako ya kwanza ni kwamba msichana anaonekana ni mpenda starehe... kisa? Anaenda beach!!! Dai lako la pili ni kwamba msichana ni muhuni... kisa? Kaweka picha instagram akiwa na beach wear!Huyu demu nilimpenda maana ni mkali picha pia nilitoa humu.
Mi nakuambia tuu hakuna mwanamke wa heshima atakaeweka picha kama hiyo mitandaoni milele.
Kazi yenu ya usanii ngoja tuwaachie.
We unaonekana hujui nini maana ya starehe na hujui nini maana ya uchi,inaonekana hata ukienda kunyyy unakunyaga na nguo kuficha uchi wako.Maisha yake yanaonyesha anapenda starehe kupitiliza we huoni vipicha alivyoweka insta huko? humuoni akiwa na vichupi akiogelea humo swimming pool? acha ujinga wewe huyu demu alikua anajitangaza huweziniambia mwanamke unaejiheshimu utaweka picha zako za uchi huko hata kama alikua swimming sio sahihiu kuziweka narudia tena usijifanye we mtoto wa kishua maisha ya mtu yanaelezea yeye ni nani!
Enzi zetu hata kama jambo dogo lazima tutimbe beach... kumbe kwenda beach nako ni kupenda starehe... dunia ina vituko hii!!! Yaani kabisa mtu unaongea mbele za watuWatanzania ndio maama hatuendelei kwa kuchunguza maisha ya watu...ht km alikua anaishi maisha ya starehe kumbuka ni yy na hakumuomba mtu hata senti ht km aliomba sio ww..utampangiaje mtu jins ya kuish ww ni nan kwake hata umpangie mtu mavaz yk na kwa nn aishi kwa starehe au la! Ww changia mada km inavyotakiwa sio mara anaish hv mara vile si ni yy na sio ww na hajakuzuia ww usifanye mambo yako apige picha akiwa beach afanye nn ts her life hiini dunia ya utandawazi so watu hawawez ishi km miaka ya zaman otherwise aamue mwenyewe kina muda ufike waTZ tujali mambo yetu binafs maisha ya mtu hayatuhusu find ur own money do ur things thats all!
Tatizo maisha Magumu Mkuu, kuna watu mpaka Leo wanadhani kwenda beach ni starehe! inasikitisha sana hivi kuna watu wanaovaa uchi kama Gigi Money amba Lulu kina shilole yaani huyu Dada Mungu amsamehe makosa yake huko alipo, damu yake haitapotea Bure M/Mungu atamlipia tu, Leo yeye kesho Mimi na kama si Mimi basi watoto wangu au hata wa Ndugu zanguNimeipitia account yake back 30 MONTHS AGO! In short sio nguo nyingi kavaa kiheshima bali karibu zote except matukio mawili tu ambayo yote yupo beach! Na hata nguo zenyewe alizovaa beach kwa kuangalia viwango vya beach watu wanavyopenda kujiachia, bado na zenyewe ni za kawaida sana lakini mtu anatoka huko anadai oh, yule msichana anaonekana muhuni na mpenda starehe! Yaani mtu kwenda beach anaonekana ni mpenda starehe... ama kweli ushamba mzigo!!
Hapo sasa... sidhani kama anaafahamu maana ya kuvaa nusu uchi huyu! Na hilo la beach kuita ni mpenda starehe ndo nikachoka jumla....Tatizo maisha Magumu Mkuu, kuna watu mpaka Leo wanadhani kwenda beach ni starehe! inasikitisha sana hivi kuna watu wanaovaa uchi kama Gigi Money amba Lulu kina shilole yaani huyu Dada Mungu amsamehe makosa yake huko alipo, damu yake haitapotea Bure M/Mungu atamlipia tu, Leo yeye kesho Mimi na kama si Mimi basi watoto wangu au hata wa Ndugu zangu
Mkuu hivi unaakili timamu wewe? Kwanini unang'ang'ania jambo lisilokuwepo? Hivi unazijua picha za utupu wewe? Hivi zile picha anacheza ngoma + yuko beach ndo picha za utupu zile? Ulitaka acheze traditional Dances na Madela? Hebu niondolee stress zako za maisha hapa, kwanza hamjui tu Mandela ni mavazi ya kimasikini,Kwa hiyo wewe utawaruhusu wanao waweke picha zao za utupu mtandaoni sio?
Labda tukuulize wewe unaishi wapi, labda unapoishi pia panaweza kuwa sababuUna umri gani mkuu?
Dharau kuwadharau wasio soma hazitakufikisha popote, kuna watu hawajaiona hiyo form 4 na bado wakikaa na wewe utaonekana ni kapuku tu, sio kosa lako utoto bado unakusumbuaHalaf mkuu watu hawasoma huku na wengi wao ni form 4 failure. Yan hata kutumia zile newton laws of motion wanashindwa kutatua hili tatizo?
Hata kama wamefaulu ni yale masomo ya sanaa
Kabisa, kwanza 'msomi' hawezi kuwa na muda wa kujitapa kuwa kasoma. Kazi na matendo yake hudhihirisha kuwa yeye ni msomi. Kuna haja ya kutofautisha kati ya graduate na msomi.Dharau kuwadharau wasio soma hazitakufikisha popote, kuna watu hawajaiona hiyo form 4 na bado wakikaa na wewe utaonekana ni kapuku tu, sio kosa lako utoto bado unakusumbua
Mungu aweke roho ya marehemu mahali pema peponi aminaaaMende nao wanaogopwa
Twende mbele turudi nyuma marehemu alikuwa na tabasamu zuri, na alikuwa anapenda vitu vya asili mara porini, ziwani kuna kipindi nilimuona kwenye mashamba ya mpunga na wale wehu walivyomaliza yao wakambwaga kwenye mipunga, very sadUsipate shida, account yake hii halafu kaangalie mwenyewe kama inafanana na watu wanavyoongea: Juliana Isawafo.