HIVI TUNA HIKI KITENGO TANZANIA? AU HADI TUOMBE MSAADA WA MABEBERU? CRIME ZOZOTE ZIKITOKEA UASIKIA POLISI WAMEONDOKA NA MWILI....baada ya kupata taarifa Mwenyekiti wa mtaa alienda kuona maiti na kuwapigia police ambao walifika na kuuchukua mwili!!!,nikisema nataka kuvunja hili jeshi la police wengi hawanielewi, kitendo cha Mwenyekiti kuingia kwenye crime scene ni makosa makubwa mno,stay stay away from crime scene utaharibu vielelezo vya ushahidi, pale walitakiwa waende foresinc cops sio hao police wa defenda!!,ushahidi umepotea, maana hakukufanyika ukusanyaji wa vielelezo kama foot prints etc etc,hii nayo ni cold case kama ya yule msichana mwingine hapo hapo Arusha, yule mwanachuo kimyaaa, royal family it walk away with murder
Ndio maana hili jeshi la police livunjwe tuanze upya na young ,sharp mind graduates 🎓,HIVI TUNA HIKI KITENGO TANZANIA? AU HADI TUOMBE MSAADA WA MABEBERU? CRIME ZOZOTE ZIKITOKEA UASIKIA POLISI WAMEONDOKA NA MWILI
kupita mwanza mjombaHii mijitu ya Arusha mbona makatili hivyo. Hii Arusha ilitakiwa iwe Kenya huko .
Hizi series unazoangaliaga Netflix usidhani pia ziko bongo. Siyo kila kitu tuwaige mabeberu.....baada ya kupata taarifa Mwenyekiti wa mtaa alienda kuona maiti na kuwapigia police ambao walifika na kuuchukua mwili!!!,nikisema nataka kuvunja hili jeshi la police wengi hawanielewi, kitendo cha Mwenyekiti kuingia kwenye crime scene ni makosa makubwa mno,stay stay away from crime scene utaharibu vielelezo vya ushahidi, pale walitakiwa waende foresinc cops sio hao police wa defenda!!,ushahidi umepotea, maana hakukufanyika ukusanyaji wa vielelezo kama foot prints etc etc,hii nayo ni cold case kama ya yule msichana mwingine hapo hapo Arusha, yule mwanachuo kimyaaa, royal family it walk away with murder
Pumbavu ila kila kukicha unawaza kwenda kwa mabeberu, kuna refugee criss pale Sudan, upo kimya na unasubiriq mabeberu waje kusaidia, royal families wanafia huko huko kwa mabeberuHizi series unazoangaliaga Netflix usidhani pia ziko bongo. Siyo kila kitu tuwaige mabeberu.
Naogezea hapo au usaliti...So sad,75%chance ni wivu wa kimapenzi.
Jeshi livunjwe au hicho kitengo kiongezwe ndani ya jeshi la Police?Ndio maana hili jeshi la police livunjwe tuanze upya na young ,sharp mind graduates 🎓,
mmteule Umewajumuisha wote ? sio sawa hii.Arusha ni hatari sana na utumiaji wa Bangi uko juu mnooo ukiongeza na Malezi ya Kimasai hasira kama Ngiri muda woooote basi tambua kwamba wale watu wa Arusha ni Hatari muda wooote kaa nao kwa tahadhari.
Tuliaminishwa kwamba Tarime/Mara kuna watu wakatili lkn mind you Arusha watu wamepinda na hamjibizani mara mbili na kama wewe ni mgeni hata ukiuliza kuelekezwa hawakupi msaaada so jamaaa wako very rude