Arusha: Mwanamke aliyeenda kutafuta pochi yake mtoni, mwili wake wakutwa kando ya mto

Arusha: Mwanamke aliyeenda kutafuta pochi yake mtoni, mwili wake wakutwa kando ya mto

....baada ya kupata taarifa Mwenyekiti wa mtaa alienda kuona maiti na kuwapigia police ambao walifika na kuuchukua mwili!!!,nikisema nataka kuvunja hili jeshi la police wengi hawanielewi, kitendo cha Mwenyekiti kuingia kwenye crime scene ni makosa makubwa mno,stay stay away from crime scene utaharibu vielelezo vya ushahidi, pale walitakiwa waende foresinc cops sio hao police wa defenda!!,ushahidi umepotea, maana hakukufanyika ukusanyaji wa vielelezo kama foot prints etc etc,hii nayo ni cold case kama ya yule msichana mwingine hapo hapo Arusha, yule mwanachuo kimyaaa, royal family it walk away with murder
Bongo ukifa umepotea tusubiri mwingine akiuawa tena naye tutazika.
 
Arusha ni hatari sana na utumiaji wa Bangi uko juu mnooo ukiongeza na Malezi ya Kimasai hasira kama Ngiri muda woooote basi tambua kwamba wale watu wa Arusha ni Hatari muda wooote kaa nao kwa tahadhari.
Tuliaminishwa kwamba Tarime/Mara kuna watu wakatili lkn mind you Arusha watu wamepinda na hamjibizani mara mbili na kama wewe ni mgeni hata ukiuliza kuelekezwa hawakupi msaaada so jamaaa wako very rude
Hii itakuwa unaongelea Arusha ya kufikirika sio Arusha halisi ninayoifahamu.
 
Pumbavu ila kila kukicha unawaza kwenda kwa mabeberu, kuna refugee criss pale Sudan, upo kimya na unasubiriq mabeberu waje kusaidia, royal families wanafia huko huko kwa mabeberu
Tulia wewee
 
Tulia wewee
Problem u can't read for meaning, wewe ni matokeo ya mfumo duni wa kielimu hapa nchini sasa soma hili dual citizenship imeruhusiwa kwa watoto!,sasa jiulize watoto hawa si ndio wa royal families?,mtoto wa hapa lingusenguse naye amefikiriwa?
 
Nimesema tulia. 😡😡😡😡

Sauh'waah?
 
....baada ya kupata taarifa Mwenyekiti wa mtaa alienda kuona maiti na kuwapigia police ambao walifika na kuuchukua mwili!!!,nikisema nataka kuvunja hili jeshi la police wengi hawanielewi, kitendo cha Mwenyekiti kuingia kwenye crime scene ni makosa makubwa mno,stay stay away from crime scene utaharibu vielelezo vya ushahidi, pale walitakiwa waende foresinc cops sio hao police wa defenda!!,ushahidi umepotea, maana hakukufanyika ukusanyaji wa vielelezo kama foot prints etc etc,hii nayo ni cold case kama ya yule msichana mwingine hapo hapo Arusha, yule mwanachuo kimyaaa, royal family it walk away with murder
Acha kuangalia movies mkuu, zinakupoteza. Hii ni Tanzania.
 
Mwanamke mmoja ambae bado hajajulikana ameuliwa na watu wasiojulikana na kutupwa mto Themi akiwa bila nguo.

Tukio hilo ambalo limezua taharuki miongoni mwa watu limetokea kata ya Sinoni katika mtaa wa onjavutian.

Mwenyekiti wa mtaa wa onjavutian ambapo tukio hilo limetokea Lesioni Joseph amethibitisha kutokea kwa tukio hilo leo jumanne na kueleza kuwa alifika mtoni baada ya kupata taarifa kutoka kwa wananchi na kwenda kuona maiti ya mwanamke huyo, na kupiga simu polisi ambapo polisi wamekuja na kuchukua mwili huo.

Poleni sana ,Polisi watafanya kazi yao na aliyeua atakamatwa kama waivyokamatwa waliomuua Milembe Suleman GGM.
 
Back
Top Bottom