Arusha: Mwanamke aliyeenda kutafuta pochi yake mtoni, mwili wake wakutwa kando ya mto

Ngiri mwenyewe sasa alivyo uso wake, kama flampeni la mama Isuja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ingekuwa awamu ya 5 tungesikia serikali katili
 
Unasemaje mtu asiyejulikana kauliwa na watu wasiojulikana?

Je kama kaletwa na mafuriko?, je kama kajiua mwenyewe?, upo sure kiasi gani kuwa kauliwa?.

Itoshe tu kusema maiti imeokotwa mto Themi, ikiwa labda na majeraha na ikiwa haina nguo.

Polisi ndio watakuja kusema chanzo cha kifo baada ya ripoti ya uchunguzi ya daktari.

Kwenye hili la Haki Jinai bado sana kuanzia viongozi, polisi, wanahabari hadi raia.
 
Ndio maana hili jeshi la police livunjwe tuanze upya na young ,sharp mind graduates [emoji310],
Jeshi linatakiwa liwe na wataalamu sijui wa forensic sio hao form form failures wanabebaje mwili bila kupima mtu wa mwisho kumgusa,na hata aliye mvua chupi.
Jeshi letu linahitaji mabadiliko sambamba na serikali iwe na database ya DNA za raia wote ili kujua hata wahalifu, au watu wanaofariki na ndugu kutokujua
 

Nguo ya chini imebebwa na maji
 
Hiyo pochi alipoteza usiku akarudi kuitafuta. Aliipotezea wapi? Hapo ndipo pamuhimu.
 
Yaani humu tukiwa na watu kama wewe tutaifanya JF kiwe kioo cha jamii, jeshi letu la police ni la kizamani sana,lazima liboreshwe kitechonology,including wale wote BBC kuondolewa jeshini
 
Yaani humu tukiwa na watu kama wewe tutaifanya JF kiwe kioo cha jamii, jeshi letu la police ni la kizamani sana,lazima liboreshwe kitechonology,including wale wote BBC kuondolewa jeshini
Jeshi letu linahitaji mabadiliko makubwa sana kuanzia utendaji na hata kitechnolojia maana mapolisi wetu licha ya kwenda mafunzoni Huwa ni wajinga kuliko raia ambao hawajaenda mafunzoni. Serikali iliweze hili jeshi Yani imagine wao wakifika ni kubeba tu mwili bila wataalamu na hawachunguzi inakuwa imeisha hyo
 
Mto themi long tym sana...
Pole kwa familia
 
Upo sahihi kabisa,
 
Kwani alivaa nguo ya chini wakati anakwenda kutafuta pochi yake?
 
Ni kweli alivyokuwa anadondoka "Ardhi ikasema Suzzane huwezi tu kututamanisha bure bure ndo ikishirikiana na mto themi ikamvua nguo"

Haya ndiyo madhara ya waliokuwa vilaza shuleni kwenda kusomea upolichi, hayo maelezo hata umpe mtoto mdogo atajua tu ni nini kilimtokea mama dorcas.
[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…