Arusha: Mwili wa Bodaboda aliyekuwa kapotea wakutwa umekatwa shingo na kutobolewa macho

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
DEREVA BODABODA ALIYEPOTEA ARUSHA, MWILI WAKUTWA UKIWA UMEKATWA SHINGO NA KUTOBOLEWA MACHO

Hamis Idd Masimba, mwenye umri wa miaka 24, dereva wa bodaboda katika kijiji cha Mlima CCM, Kata ya Murieti jijini Arusha, aliyeripotiwa kupotea, mwili wake umekutwa katika Kata ya Olasiti ukiwa na majeraha makubwa, ikiwemo kukatwa shingo na kutobolewa macho.

Wakizungumza, ndugu za marehemu wamesema baada ya Hamis kupotea, simu yake ilipatikana na mtu alivedai kuwa ameokota na kuhitaji Shilingi 10,000 ili airejeshe. Hata hivyo, muda mfupi baadaye simu hiyo ilizimwa. Katika harakati za kumtafuta, ndugu hao walikuta viatu vyake pekee, huku pikipiki aliyokuwa akiendesha ikiwa haijulikani ilipo.

Tukio hilo linakuwa miongoni mwa matukio kadhaa ya mauaji yanayowakumba madereva bodaboda katika maeneo ya Arusha. Takribani miezi kadhaa iliyopita, dereva mwingine wa bodaboda alikodishwa na abiria na kwenda kuuawa katika eneo la karibu na Idara ya Maji, Mateves.

Aidha, katika maeneo ya Meru, dereva mwingine wa bodaboda alikutwa ameuawa, akiwa ametobolewa macho na kukatwa shingo, kabla ya mwili wake kutupwa katika eneo la mashambani.

Matukio haya yanapaswa kulaaniwa, huku madereva bodaboda wakitakiwa kuwa makini zaidi wanapochukua abiria wasiowafahamu, hasa wanapoelekezwa katika maeneo yasiyo na watu.

Screenshot 2026-09-12 at 19-47-51 Instagram.png
 
Bajeti ya wizara ya mambo ya Ndani inaelekezwa wapi zaidi?
Kwanini washindwe kuwa kuwakamata hawa wauwaji wakati mbinu ni zile zile tu za kukata shingo na kutoa macho?
Lazima wawe na wabobezi hata kama kuwapeleka Sctland yard wakasomee na kuona wenzetu walivyo wepesi kukamata wahalifu

Hawa wanaokufa ni watoto wetu na sio kuku lazima walindwe kwa thamani yoyote
Uwezo upo tuzijitoe ufahamu
Tumieni weledi wenu au ombeni bajeti iongezwe

Kweli kutuma askari 100 au 200 kufuatilia kesi hizi ni gharama kubwa lakini inawezekana

Waende door to door kuhoji watu kama wanawajua wahalifu wa mtaani
Hakika tunaweza
 
Attachments

  • IMG-20260827-WA0003.jpg
    IMG-20260827-WA0003.jpg
    82 KB · Views: 13
Bajeti ya wizara ya mambo ya Ndani inaelekezwa wapi zaidi?
Kwanini washindwe kuwa kuwakamata hawa wauwaji wakati mbinu ni zile zile tu za kukata shingo na kutoa macho?
Lazima wawe na wabobezi hata kama kuwapeleka Sctland yard wakasomee na kuona wenzetu walivyo wepesi kukamata wahalifu

Hawa wanaokufa ni watoto wetu na sio kuku lazima walindwe kwa thamani yoyote
Uwezo upo tuzijitoe ufahamu
Tumieni weledi wenu au ombeni bajeti iongezwe

Kweli kutuma askari 100 au 200 kufuatilia kesi hizi ni gharama kubwa lakini inawezekana

Waende door to door kuhoji watu kama wanawajua wahalifu wa mtaani
Hakika tunaweza
Role model wa haya mambo ni CCM,Matokeo yake hii cancer imekuwa kawaida imehamia mpaka kwa jamii.
 
Bodaboda wamezidi sana kula wake za watu,hayo ni matunda ya kutembea na wake za watu.
 
Ni huzuni kubwa sana kwa jamii
Hao wana dhambi gani kuuwawa bila kupata haki yao?
Wazazi, jamaa na ndugu wanaumia na haki hakuna
Kwa kweli hata mimi inaniuma sana kuona vijana wadogo wakifa hivi

Sisi hatukuyaona haya ila sasa ni imezidi
 
Bodaboda wamezidi sana kula wake za watu,hayo ni matunda ya kutembea na wake za watu.
Sio wote wanaouwawa wamefanya hivyo na tusiwahukumu
Mbona mpaka viongozi wanakula? Na kila sehemu wapo wa hivyo na washenzi hao wake za watu ndio wanaogawa
Kwanini wasiwe na adabu zao kama wana familia?

Haki itendeke vijana wanakufa na haki hamna

Wengine wanauwawa kisa pikipiki
 
DEREVA BODABODA ALIYEPOTEA ARUSHA, MWILI WAKUTWA UKIWA UMEKATWA SHINGO NA KUTOBOLEWA MACHO

Hamis Idd Masimba, mwenye umri wa miaka 24, dereva wa bodaboda katika kijiji cha Mlima CCM, Kata ya Murieti jijini Arusha, aliyeripotiwa kupotea, mwili wake umekutwa katika Kata ya Olasiti ukiwa na majeraha makubwa, ikiwemo kukatwa shingo na kutobolewa macho.

Wakizungumza, ndugu za marehemu wamesema baada ya Hamis kupotea, simu yake ilipatikana na mtu alivedai kuwa ameokota na kuhitaji Shilingi 10,000 ili airejeshe. Hata hivyo, muda mfupi baadaye simu hiyo ilizimwa. Katika harakati za kumtafuta, ndugu hao walikuta viatu vyake pekee, huku pikipiki aliyokuwa akiendesha ikiwa haijulikani ilipo.

Tukio hilo linakuwa miongoni mwa matukio kadhaa ya mauaji yanayowakumba madereva bodaboda katika maeneo ya Arusha. Takribani miezi kadhaa iliyopita, dereva mwingine wa bodaboda alikodishwa na abiria na kwenda kuuawa katika eneo la karibu na Idara ya Maji, Mateves.

Aidha, katika maeneo ya Meru, dereva mwingine wa bodaboda alikutwa ameuawa, akiwa ametobolewa macho na kukatwa shingo, kabla ya mwili wake kutupwa katika eneo la mashambani.

Matukio haya yanapaswa kulaaniwa, huku madereva bodaboda wakitakiwa kuwa makini zaidi wanapochukua abiria wasiowafahamu, hasa wanapoelekezwa katika maeneo yasiyo na watu.

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un:CouldYouNot:​

Hamis Idd Masimba, mwenye umri wa miaka 24, dereva wa bodaboda katika kijiji cha Mlima CCM, Kata ya Murieti jijini Arusha, aliyeripotiwa kupotea, mwili wake umekutwa katika Kata ya Olasiti ukiwa na majeraha makubwa, ikiwemo kukatwa shingo na kutobolewa macho.
IMG-20260912-WA0035(1).jpg

Wakizungumza, ndugu za marehemu wamesema baada ya Hamis kupotea, simu yake ilipatikana na mtu alivedai kuwa ameokota na kuhitaji Shilingi 10,000 ili airejeshe. Hata hivyo, muda mfupi baadaye simu hiyo ilizimwa. Katika harakati za kumtafuta, ndugu hao walikuta viatu vyake pekee, huku pikipiki aliyokuwa akiendesha ikiwa haijulikani ilipo.

Tukio hilo linakuwa miongoni mwa matukio kadhaa ya mauaji yanayowakumba madereva bodaboda katika maeneo ya Arusha. Takribani miezi kadhaa iliyopita, dereva mwingine wa bodaboda alikodishwa na abiria na kwenda kuuawa katika eneo la karibu na Idara ya Maji, Mateves.

Aidha, katika maeneo ya Meru, dereva mwingine wa bodaboda alikutwa ameuawa, akiwa ametobolewa macho na kukatwa shingo, kabla ya mwili wake kutupwa katika eneo la mashambani.

Matukio haya yanapaswa kulaaniwa, huku madereva bodaboda wakitakiwa kuwa makini zaidi wanapochukua abiria wasiowafahamu, hasa wanapoelekezwa katika maeneo yasiyo na watu.

Chanzo: Kusaga TV
 
Sio wote wanaouwawa wamefanya hivyo na tusiwahukumu
Mbona mpaka viongozi wanakula? Na kila sehemu wapo wa hivyo na washenzi hao wake za watu ndio wanaogawa
Kwanini wasiwe na adabu zao kama wana familia?

Haki itendeke vijana wanakufa na haki hamna

Wengine wanauwawa kisa pikipiki
Pikipiki zenyewe za mchina wanaenda uza 400,000 kuna kikundi maalum wapo wao ni kununua pikipiki hizo za uwizi

Ova
 
Vikundi vidogo hivyo wanashindwa kuwadhibiti
Kuna dogo aliibiwa pikipiki akaaamua kuifuatilia mwenyewe aliipatia 200km kwa maelekezo ya vijana
Baada ya kuipata ndio akaripoti polisi
Je asingefuatilia angeipata
 
Kuna mteja wa kununua pikpik za wiz maeneo hayo anaetoa pesa nzur
 
Back
Top Bottom