Arusha: Mwili wa Bodaboda aliyekuwa kapotea wakutwa umekatwa shingo na kutobolewa macho

Arusha: Mwili wa Bodaboda aliyekuwa kapotea wakutwa umekatwa shingo na kutobolewa macho

Bodaboda wamezidi sana kula wake za watu,hayo ni matunda ya kutembea na wake za watu.
Hao ni wezi wa pikipiki ndo style zao hizoo kuchinja na kutoboa macho... Kesi za hivi ni nyingi na zinatokea usiku mkali wala hamna cha mke wa mtu Bob
 
Back
Top Bottom