DEREVA BODABODA ALIYEPOTEA ARUSHA, MWILI WAKUTWA UKIWA UMEKATWA SHINGO NA KUTOBOLEWA MACHO
Wakizungumza, ndu
DEREVA BODABODA ALIYEPOTEA ARUSHA, MWILI WAKUTWA UKIWA UMEKATWA SHINGO NA KUTOBOLEWA MACHO
Hamis Idd Masimba, mwenye umri wa miaka 24, dereva wa bodaboda katika kijiji cha Mlima CCM, Kata ya Murieti jijini Arusha, aliyeripotiwa kupotea, mwili wake umekutwa katika Kata ya Olasiti ukiwa na majeraha makubwa, ikiwemo kukatwa shingo na kutobolewa macho.
Wakizungumza, ndugu za marehemu wamesema baada ya Hamis kupotea, simu yake ilipatikana na mtu alivedai kuwa ameokota na kuhitaji Shilingi 10,000 ili airejeshe. Hata hivyo, muda mfupi baadaye simu hiyo ilizimwa. Katika harakati za kumtafuta, ndugu hao walikuta viatu vyake pekee, huku pikipiki aliyokuwa akiendesha ikiwa haijulikani ilipo.
Tukio hilo linakuwa miongoni mwa matukio kadhaa ya mauaji yanayowakumba madereva bodaboda katika maeneo ya Arusha. Takribani miezi kadhaa iliyopita, dereva mwingine wa bodaboda alikodishwa na abiria na kwenda kuuawa katika eneo la karibu na Idara ya Maji, Mateves.
Aidha, katika maeneo ya Meru, dereva mwingine wa bodaboda alikutwa ameuawa, akiwa ametobolewa macho na kukatwa shingo, kabla ya mwili wake kutupwa katika eneo la mashambani.
Matukio haya yanapaswa kulaaniwa, huku madereva bodaboda wakitakiwa kuwa makini zaidi wanapochukua abiria wasiowafahamu, hasa wanapoelekezwa katika maeneo yasiyo na watu.
Role model wa haya mambo ni CCM,Matokeo yake hii cancer imekuwa kawaida imehamia mpaka kwa jamii.Bajeti ya wizara ya mambo ya Ndani inaelekezwa wapi zaidi?
Kwanini washindwe kuwa kuwakamata hawa wauwaji wakati mbinu ni zile zile tu za kukata shingo na kutoa macho?
Lazima wawe na wabobezi hata kama kuwapeleka Sctland yard wakasomee na kuona wenzetu walivyo wepesi kukamata wahalifu
Hawa wanaokufa ni watoto wetu na sio kuku lazima walindwe kwa thamani yoyote
Uwezo upo tuzijitoe ufahamu
Tumieni weledi wenu au ombeni bajeti iongezwe
Kweli kutuma askari 100 au 200 kufuatilia kesi hizi ni gharama kubwa lakini inawezekana
Waende door to door kuhoji watu kama wanawajua wahalifu wa mtaani
Hakika tunaweza
Ni huzuni kubwa sana kwa jamiiRole model wa haya mambo ni CCM,Matokeo yake hii cancer imekuwa kawaida imehamia mpaka kwa jamii.
Sio wote wanaouwawa wamefanya hivyo na tusiwahukumuBodaboda wamezidi sana kula wake za watu,hayo ni matunda ya kutembea na wake za watu.
DEREVA BODABODA ALIYEPOTEA ARUSHA, MWILI WAKUTWA UKIWA UMEKATWA SHINGO NA KUTOBOLEWA MACHO
Hamis Idd Masimba, mwenye umri wa miaka 24, dereva wa bodaboda katika kijiji cha Mlima CCM, Kata ya Murieti jijini Arusha, aliyeripotiwa kupotea, mwili wake umekutwa katika Kata ya Olasiti ukiwa na majeraha makubwa, ikiwemo kukatwa shingo na kutobolewa macho.
Wakizungumza, ndugu za marehemu wamesema baada ya Hamis kupotea, simu yake ilipatikana na mtu alivedai kuwa ameokota na kuhitaji Shilingi 10,000 ili airejeshe. Hata hivyo, muda mfupi baadaye simu hiyo ilizimwa. Katika harakati za kumtafuta, ndugu hao walikuta viatu vyake pekee, huku pikipiki aliyokuwa akiendesha ikiwa haijulikani ilipo.
Tukio hilo linakuwa miongoni mwa matukio kadhaa ya mauaji yanayowakumba madereva bodaboda katika maeneo ya Arusha. Takribani miezi kadhaa iliyopita, dereva mwingine wa bodaboda alikodishwa na abiria na kwenda kuuawa katika eneo la karibu na Idara ya Maji, Mateves.
Aidha, katika maeneo ya Meru, dereva mwingine wa bodaboda alikutwa ameuawa, akiwa ametobolewa macho na kukatwa shingo, kabla ya mwili wake kutupwa katika eneo la mashambani.
Matukio haya yanapaswa kulaaniwa, huku madereva bodaboda wakitakiwa kuwa makini zaidi wanapochukua abiria wasiowafahamu, hasa wanapoelekezwa katika maeneo yasiyo na watu.
Pikipiki zenyewe za mchina wanaenda uza 400,000 kuna kikundi maalum wapo wao ni kununua pikipiki hizo za uwiziSio wote wanaouwawa wamefanya hivyo na tusiwahukumu
Mbona mpaka viongozi wanakula? Na kila sehemu wapo wa hivyo na washenzi hao wake za watu ndio wanaogawa
Kwanini wasiwe na adabu zao kama wana familia?
Haki itendeke vijana wanakufa na haki hamna
Wengine wanauwawa kisa pikipiki
Nchimbi yupo wapi?Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Vikundi vidogo hivyo wanashindwa kuwadhibitiPikipiki zenyewe za mchina wanaenda uza 400,000 kuna kikundi maalum wapo wao ni kununua pikipiki hizo za uwizi
Ova
kwani alikua wapi?Nchimbi yupo wapi?
Nijibu Nchimbi yupo wapi kwasababu kwao hayupo nawewe ni kijana wakekwani alikua wapi?