Arusha: Mwili wa Bodaboda aliyekuwa kapotea wakutwa umekatwa shingo na kutobolewa macho

Vifo vya boda boda wengi vinatokana na issue 2 tu,kisasi na hiyo kunyanganywa pikipiki.
 
Zamani haya matokeo tuliyazoea kuyasikia Geita na Njombe
Siku Arusha imewapiku wote hao. Machaliiii sijui wamekuwaje
 
hii ya kuua na kukata shingo plus kutoboa macho wamefanya kama fashion, binadam ni wabaya kuliko hata wanyamaπŸ˜ͺ
Litakuwa ni kundi moja la mtandao huo
Wanafanya kama kuacha alama (kama cartels)
Ila kusakwa na kushikwa ni rahisi sana hao
 
Kafa kifo kibaya sana.. Wauaji ni watu wa hovyo mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…