Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mkuu wa mkoa wa Arusha anaonekana kushughulika sana na masuala ambayo hayaleti tija kubwa kwa wananchi.
Mkoa wa Arusha una changamoto kubwa ya maisha magumu kwa wakazi wake, hali inayozidi hata mkoa wa Lindi, ambao unaelezwa kuwa miongoni mwa mikoa yenye hali duni kiuchumi.
Mgawanyiko wa kiuchumi unajidhihirisha zaidi Arusha, ambapo wachache wanaishi maisha ya anasa, huku wengi wakiwa na hali duni ya maisha.
Kwa sasa, imani ya wananchi inaonekana kudhoofika, na viongozi wa dini wanajikuta wakihusishwa kwa karibu na siasa. Hivi karibuni, Sheikh wa mkoa alipewa gari, na baadhi ya makanisa yamepokea misaada ya kifedha.