Arusha ni sehemu isiyo na mpinzani katika matumizi ya bangi

Nimekaa Arusha miaka mitatu sijawahi kuona mtu akivuta bhangi Wala kusikia inakouziwa. Ila mirungi nimeona boda boda wengi tu wakitafuna Kama mbuzi anavyokula majani.
 
Njombe hutumia tumia majani ya bangi kama mboga.
 
Subiri Kingai akukute nayo afu umweleze hayo.
 
Hiyo no fap inabidi niitumie kuanzia leo naacha nyeto japo kuna ugumu ila nitapambana
Ila mjani naendelea kuvuta aisee siachiiiiīi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umesema starehe yako ni kusoma nn.......!?????? Uliwezajeeeeee!?????
 
Yan mtaa wangu ndo utasema amnaga serikali maana sio ajabu kukuta mtu anavuta hata dukani au njiani openly kabsa af hawawazi yan
 
Wewe ulikua ukivuta unaegesha gari? Kuna wenzako wakivuta analima shamba lote hachoki, wewe ilikuaje
 
Nyeto hujaacha tusidanganyane hapa, bangi pia unapiga kisera kuna vitu ukiviacha ni lazima ukate damu uweke nadharia
 
Nyeto hujaacha tusidanganyane hapa, bangi pia unapiga kisera kuna vitu ukiviacha ni lazima ukate damu uweke nadharia
Nakwambia yani nimeacha haya mambo.

Zamani nilikuwa najiuliza sana kwamba nikoacha haya mambo ntakosa furaha na ntakosa kitu muhimu cha kufanya.

Katika safari ya kuacha haya mambo kuna kitu kinaitwa "relapse" yaani hamu inakuzidi unaamua kujaribu tena, mfano unakaa siku 3 unarudi tena, na uzuri wa hizi relapse ni kwamba leo ukirelapse baada ya siku 3 basi safari ijayo uzoefu unaongezeka uta relapse baada ya wiki, baada ya hapo uta relapse baada ya wiki 2, yani hapa unaipa akili uzoefu wa kuondoa sumu ya addiction, mwishowe unajikuta ushakuwa mtaalam wa kuji controll, unaaacha kabisa.

Kwa sasa hivi vitu vya kunihamisha akili sina mda navyo, addiction zangu kwa sasa ni kukuza malengo yangu, biblia, mziki, wife, watoto.
 
Umeongea bonge la point mkuu kuna kitu umenifundisha hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…