Arusha ni tofauti na inavyozungumziwa kwenye mitandao

Arusha ni pazuri kwa namna yake. Kama unataka upumzike kwa namna tofauti na magorofa gorofa sijui mafoleni nenda Arusha kuna hotels zina view nzuri sana halafu pako tulivu.

Tatizo la ule mji umejikuyanya sehemu moja kama vipele vya rushes. Ukitoka tu nje ya mji kuna mambo muhimu lakini ya kawaida unaweza usipate mfano unataka wakala mwenye flot ya 5m na kuendelea hawapo, unaambiwa nenda town.

Saa 2/3 kuna biashara muhimu unakuta zimefungwa bado. Yaani saa mbili upo mjini maduka yamefungwa utadhani kuna sikukuu au ni j2 kumbe ni j3.
 
Asante sana, inabidi tuanze kuichukua Tanzania yetu sasa naona inakwenda kuuzwa kwa waarabu.
 
Kwanza arusha upajui vinzuri hata kidogo:arusha kuna masoko mengi sana kuna soko kuu(bondeni),kilombero,Samunge aisee arusha kuna mSoko mengi sana yani kila mtaa kuna masoko 2::

Arusha inajengwa stendi kubwa africa mashariki hakuna nenda murieti ukaone.
Viford ni aina ya magari yanayopendwa,
Hivyo viford pia vipo nigeria sasa unashangaa nini.

Kama upajui arusha vinzuri uliza wenyeji Acha kujifanya ujuaji kwenye miji ya watu
 
Huwa nikiangalia mikato na swag za masela wa A town sioni kabisa ni kwa namna gani hawa watu wanaweza kuwa na mipango ya maendeleo ya mji wao
Wewe vijana wa arusha wanamaendeleo sana huku sisi hatutegemei urithi na uwezi mkuta kijana anaishi kwao:nenda sasa dar yani dada anazalia kwao anamleta mwanaume kwao,kaka mtu naye anazehekea kwao yani aibu sana:kazi unawaombea wazazi wenu wafe muuze nyumba pumbavu sanaaa
 
Huyo anayeandika uzi kumbe shoga
 
Huwezi ishi arusha mtoto laini laini kama wewe.wewe ishi dar ndo panakufaa maana unaonekana shoga:huku daimambele nyuma mwiko tena pachafu
 
Arusha ni Pana mkuu nenda ngorongoro utakuja kutoa ushuhuda hata hivyo kinachonipa fraha Ina sehemu za bata kila maeneo
Mkuu unataka nicheke aseee...
...
Sasa Ngorongoro kuna kitu gani ambacho serikali inatakiwa kuweka kwa ajili ya daily life of wananchi?.

Although kule ni polini hata eneo maeneo ya Ngorongoro center haiwezekani kukawepo uwekezaji wowote sababu impact yake ni livestock life than human interaction.
 
Kwenye vi ford kuwepo Nigeria, Haiwezi kuwa mfano mzuri, ni bora kuiga maendeleo siyo kila kitu sababu tu kipo Nigeria.
 
Sasa mbona vijana wa Dar wana life standard ya juu kuliko wa Chuga?
 
Kama kuanzia shoprite ya zaman mpaka unaenda kona ya mbaunda ile sehemu ni mbaya atafutwe muwekezaji au wafanye namna waondoe ule uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…