Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Arusha ni pazuri kwa namna yake. Kama unataka upumzike kwa namna tofauti na magorofa gorofa sijui mafoleni nenda Arusha kuna hotels zina view nzuri sana halafu pako tulivu.
Tatizo la ule mji umejikuyanya sehemu moja kama vipele vya rushes. Ukitoka tu nje ya mji kuna mambo muhimu lakini ya kawaida unaweza usipate mfano unataka wakala mwenye flot ya 5m na kuendelea hawapo, unaambiwa nenda town.
Saa 2/3 kuna biashara muhimu unakuta zimefungwa bado. Yaani saa mbili upo mjini maduka yamefungwa utadhani kuna sikukuu au ni j2 kumbe ni j3.