Q Qualitycontrol JF-Expert Member Joined Mar 10, 2023 Posts 777 Reaction score 498 Jun 8, 2023 #41 buccaneer said: Kama kuanzia shoprite ya zaman mpaka unaenda kona ya mbaunda ile sehemu ni mbaya atafutwe muwekezaji au wafanye namna waondoe ule uchafu Click to expand... Uchafu upi mkuu
buccaneer said: Kama kuanzia shoprite ya zaman mpaka unaenda kona ya mbaunda ile sehemu ni mbaya atafutwe muwekezaji au wafanye namna waondoe ule uchafu Click to expand... Uchafu upi mkuu
P Pesanyingi JF-Expert Member Joined Apr 15, 2023 Posts 1,157 Reaction score 1,983 Jun 8, 2023 Thread starter #42 Mjep said: Tuachie chuga yetu tunaielewa sisi wenyewe Mbona wewe unajiita Pesanyingi wakati huna pesa nahatuja lalamika Click to expand... Pesa ninayo ndiyo ila siyo ya kuwajengea miundo mbinu.Tatizo ma chalii ya R ni mnapuliza Moshi sana na ugoro
Mjep said: Tuachie chuga yetu tunaielewa sisi wenyewe Mbona wewe unajiita Pesanyingi wakati huna pesa nahatuja lalamika Click to expand... Pesa ninayo ndiyo ila siyo ya kuwajengea miundo mbinu.Tatizo ma chalii ya R ni mnapuliza Moshi sana na ugoro
Mangi shangali JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 533 Reaction score 820 Jun 8, 2023 #43 Pesanyingi said: Pesa ninayo ndiyo ila siyo ya kuwajengea miundo mbinu.Tatizo ma chalii ya R ni mnapuliza Moshi sana na ugoro Click to expand... Na ukiendelea na sisi tutakuwekea ugoro bakta
Pesanyingi said: Pesa ninayo ndiyo ila siyo ya kuwajengea miundo mbinu.Tatizo ma chalii ya R ni mnapuliza Moshi sana na ugoro Click to expand... Na ukiendelea na sisi tutakuwekea ugoro bakta
knysna JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 351 Reaction score 109 Jun 9, 2023 #44 TheChoji said: Hapa Tanzania hakuna mji wala jiji lolote la maana ni porojo tuu. Kila utakoenda mambo ni yaleyale.. Click to expand... Ukiwaambia ukweli wanasema tunajifanya tunajua sana,kwa nchi yetu hakuna jiji hata moja la kujivunia...
TheChoji said: Hapa Tanzania hakuna mji wala jiji lolote la maana ni porojo tuu. Kila utakoenda mambo ni yaleyale.. Click to expand... Ukiwaambia ukweli wanasema tunajifanya tunajua sana,kwa nchi yetu hakuna jiji hata moja la kujivunia...
L ladyfocus JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 968 Reaction score 711 Jun 9, 2023 #45 zwangandaba said: Ongezea na mamigomba katikati ya hicho kimji. Vibarabara vyembamba vumejaa vumbi na viraka Click to expand... Eneo lipi mjini Lina migomba? Umejua kuzidisha chumvi
zwangandaba said: Ongezea na mamigomba katikati ya hicho kimji. Vibarabara vyembamba vumejaa vumbi na viraka Click to expand... Eneo lipi mjini Lina migomba? Umejua kuzidisha chumvi