Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Uchafu upi mkuuKama kuanzia shoprite ya zaman mpaka unaenda kona ya mbaunda ile sehemu ni mbaya atafutwe muwekezaji au wafanye namna waondoe ule uchafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchafu upi mkuuKama kuanzia shoprite ya zaman mpaka unaenda kona ya mbaunda ile sehemu ni mbaya atafutwe muwekezaji au wafanye namna waondoe ule uchafu
Pesa ninayo ndiyo ila siyo ya kuwajengea miundo mbinu.Tatizo ma chalii ya R ni mnapuliza Moshi sana na ugoroTuachie chuga yetu tunaielewa sisi wenyewe
Mbona wewe unajiita Pesanyingi wakati huna pesa nahatuja lalamika
Na ukiendelea na sisi tutakuwekea ugoro baktaPesa ninayo ndiyo ila siyo ya kuwajengea miundo mbinu.Tatizo ma chalii ya R ni mnapuliza Moshi sana na ugoro
Ukiwaambia ukweli wanasema tunajifanya tunajua sana,kwa nchi yetu hakuna jiji hata moja la kujivunia...Hapa Tanzania hakuna mji wala jiji lolote la maana ni porojo tuu. Kila utakoenda mambo ni yaleyale..
Eneo lipi mjini Lina migomba? Umejua kuzidisha chumviOngezea na mamigomba katikati ya hicho kimji.
Vibarabara vyembamba vumejaa vumbi na viraka