aisee vp pale kwa loningo ? pameponaHali inazidi kuwa mbaya kwa eneo la Sanawari juu na Ngusero
Vijana waliokuwa wakiandamana kuelekea Clock Tower na kuvamiwa na Polisi wamepambana na Polisi na baadae wakaenda kuchoma Ofisi mbili za kata pamoja na Ofisi ya CCM kata ya Moivo
Tuombe Amani Ndugu zangu.
Tuombe haki kwanza na amani itakuja yenyewe.Hali inazidi kuwa mbaya kwa eneo la Sanawari juu na Ngusero
Vijana waliokuwa wakiandamana kuelekea Clock Tower na kuvamiwa na Polisi wamepambana na Polisi na baadae wakaenda kuchoma Ofisi mbili za kata pamoja na Ofisi ya CCM kata ya Moivo
Tuombe Amani Ndugu zangu.
Amani bado kwasasa kuombwa ccm walikuwa wanajitia viburi kisa kutegemea vyombo vya dola wacha kwanza wapewe salamu.Hali inazidi kuwa mbaya kwa eneo la Sanawari juu na Ngusero