Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Leo siku ya mwaka mpya, nikaona nimalizie siku pale kwa murombo kwa lengo la kupata nyama ya kuchomaa, nilipo ingia pale nilikuta pako busy sana ila nilipo waangalia watu wengi waliopo pale ni watu wa class ya kawaida sana ila wengi wanakunywa pombe sana.
Anyway nikaona sio hiyana ngoja nijichanganye na wenzangu. Nikaenda pale nikachagua nyama ila wakati nachagua kuna mwanaume wenzangu ametitazama sana kwa muda mrefu.
Alikuwa anakunywa sprite, nilipo agiza nilitafuta sehemu ya kukaa, yule bwana aliniita kwa ishara nikamuelewa, nilipi mkaribia akanisalimia kama tunafahamiana alafu akaniambia kuwa makini hapo hao jamaa wanachoma watakulisha nyama ya nguruwe, niliagiza moyo kwasababu napenda ulaini.
Kiukweli, baada ya ushauri huo nikamuambia jamaa nashukuru kwa ushauri nikaenda sehemu nikamuita mdada mmoja nikamuulize ukweli wa hilo jambo akaniambi ni kweli ila nimfichie siri.
Kiukweli nilidhishiwa nguvu, baada ya hapo nililipia hizo nyama ni
Kawaambia wanifungie kwenye foili kisha nikaenda kutupa ninapojua.
kwa muromboo sio sehemu salama, kuna ujanja wa kishamba sana pale ya watu kutaka kuwaumiza wengine ili tu wapate pesa. Sasa hivi nakula nyama iliyoandaliwa na mmasai at least wapo honest kama wazungu na wanahofu ya Mungu.
NB: naweza kutofautisha moyo wa nguruwe na wa mbuzi anyoshe kidole na sehemu wanayochoma kitimoto.
Sijawahi kuona wakichoma moyo na utumbo wa kitimoto.