Arusha: Pale kwa Mromboo nimelishwa nyama ya nguruwe

Ukiwa muongo basi ujitahidi kuwa na kumbukumbu maana unaweza kukuumbua muda wowote. Kichwa cha habari kinasema umelishwa na ukiingia kwenye habari yenyewe unasema umeitupa, uwongo ulioje ila kama ulitaka michango ya mawazo tuu kwenye habari yako umefanikiwa.

Kitu cha pili bei ya nyama ya mbuzi na ya mkuu wa meza hazifanani hata kidogo. Mimi ninahitimisha kwa kusema umekula kwa kudhamiria kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Ukute hata kwa moromboo kwenyewe hupajui pana fanana aje.
Unaandika uongo ili iweje?
Unataka kuwaharibia tu wajasiriamali wa watu.
By the way pale unachagua nyama wakati inatengenezwa wewe unapata zako kinywaji mpaka ikiiva unaletewa kwenye msinia unaanza kubugia.
Hamna kitimoto wala pork.
 
Kichwa cha habari kinasema umelishwa nyama ya Nguruwe ila ukisoma thread ni kwamba hukula hiyo nyama. Hadi hapo tayari wewe ni mzushi unafaa kupuuzwa. Pia nyama ya Nguruwe ni tofauti na ya mbuzi kuanzia harufu hadi bei. Panapochomwa Nguruwe panakuwa na harufu tofauti kabisa. Watu wangeshajua. Pia kwa utofauti wa bei hakuna mfanyabiashara atataka apate hasara. Kwa jinsi ninavyopajua kwa Mromboo ni kwamba sehemu wanazochoma kitimoto haziko sehemu moja na za mbuzi. WEWE NI MZUSHI MWENYE NIA OVU. Mods wafute huu uzi wa kuharibu biashara za watu.
 
Ukienda kiboya pale unalishwa snoop..
Wanabandika mkia wa mbuz kw spaglu kwny nyama ya lili bow wow
Wachache kama wewe ndio wanaelewa..wengi hapa wana oda ya kuleta moyo na utumbo wa nguruwe kutoka rombo moshi..wanaendekeza ubishi tu..kwa maslahi yao..pumbxvu kabisa
.
 
Wewe haujui mbinu za biashara na ujasiara mali.ndio changamoto uliyonayo
 
Mkuu kitimoto unaijua au unaiskia? Kuna nyama bongo inaifikia kwa bei? Anyway basi hao ni wasamaria wema ngoja nianze kuja huko
 
Wapi happ ambapo unaagiza nyama ya mbuzi unapewa mdudu? Nktakua naenda kila siku maana hyo ni fursa. Nj wapi huko?
 
Yaani uuziwe nyama ya nguruwe kwa bei ya nyama ya mbuzi? Unajua thamani ya nyama ya nguruwe lakini?
Ni sawa na kusema nimeenda kunua mafuta ya taa wakanifanyia uhuni wakanipa dizeli.
Sa itakuwaje kikiwa na kifafa.. bora liende tu
 
1. Ni MOROMBOO sio "murombo"
2. Hakuna mtu ameishi arusha hajaenda kula mbuzi pale, iwe ustaadh au iwe paroko.
3. Wewe n mzandiki na mzabina zabina, kitimoto arusha iko juu kuliko mbuzi. Maana ujue kbsa wamasai wanafuga mbuzi zaidi ya Noah.
4. Huyo mnywa sprite, na wewe, na huyo dadaako mficha siri wote hakuna jipya unatuletea makelele tu.
 
Wachache kama wewe ndio wanaelewa..wengi hapa wana oda ya kuleta moyo na utumbo wa nguruwe kutoka rombo moshi..wanaendekeza ubishi tu..kwa maslahi yao..pumbxvu kabisa
.
Acha upumbavu, huo ni uongooo
 
Kwa morombo panasifika kwa nyama ya mbuzi duniani Sasa wewe huwezi tofautisha mbuzi na nguruwe njaa zitakuua
 
Yaani uuziwe nyama ya nguruwe kwa bei ya nyama ya mbuzi? Unajua thamani ya nyama ya nguruwe lakini?
Ni sawa na kusema nimeenda kunua mafuta ya taa wakanifanyia uhuni wakanipa dizeli.
Mkuu unajua thamani ya kilo ya mbuzi iliyochomwa ?
 
Ukienda kiboya pale unalishwa snoop..
Wanabandika mkia wa mbuz kw spaglu kwny nyama ya lili bow wow
Nimecheka kifala Sana 😁😁😁
 
Huyu jamaa anasema kauliza kwa Watu wawili kaambiwa hivyo. Sasa kwanini mnapinga bila ya nyinyi kufanya research kidogo. Kama nikweli hao jamaa wanacheza na Imani zawatu
 
Huyu jamaa anasema kauliza kwa Watu wawili kaambiwa hivyo. Sasa kwanini mnapinga bila ya nyinyi kufanya research kidogo. Kama nikweli hao jamaa wanacheza na Imani zawatu
Wengine tumekulia na kufanya kazi maeneo hayo. Hakuna haja ya research. Anachokisema ni uzushi mtupu. Mabucha ya kitimoto pale kwa mromboo hayako sehemu moja na ya mbuzi. Isitoshe kwa mromboo sio maarufu kabisa kwa kitimoto. Mianzini kwa Shirima ndo sehemu maarufu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…