Arusha: Pale kwa Mromboo nimelishwa nyama ya nguruwe

Unatatizo la kutojiamini! Alafu acha uongo!
 
Ndo maana nikasema Kama ni kweli. Hukoorombo ni maeneo yetu ya kujidai Leo yenyewe nimekula nyama choma hapo
 
Huyu jamaa anasema kauliza kwa Watu wawili kaambiwa hivyo. Sasa kwanini mnapinga bila ya nyinyi kufanya research kidogo. Kama nikweli hao jamaa wanacheza na Imani zawatu
Wewe ni mpumbavu, yani uagize Toyota Corona uletewe Toyota Land cruiser VX?

Unaijuwa bei ya kiti moto? hii nchi imejaa vijana wajinga sana like you.
 
Siku nyingine wakuchomee chura kabisa maana heleweki
 
Kuna tofauti gani ya bei kwa hizo nyama?
 
Unachafua jina la biashara. Hiyo sehemu ni kitovu cha utalii wa msosi Arusha. Bora ungesema umelishwa kondoo lakini sio shwain.
 
Kwani nyama ya nguruwe hailiwi na kama ungekula ungekufa au wewe mwarabu?
 
Umetumwa kuharibu biashara ya watu, aliyebarikiwa na Mungu halaaniki
 
kwa muromboo sio sehemu salama, kuna ujanja wa kishamba sana pale ya watu kutaka kuwaumiza wengine ili tu wapate pesa. Sasa hivi nakula nyama iliyoandaliwa na mmasai at least wapo honest kama wazungu na wanahofu ya Mungu.
Sio kweli kabisa, Nguruwe ni ghali Zaidi kuliko mbuzi au ng'ombe, sasa kwanini Angie gharama ya kukupa kitu Cha ghali asipate faida? Nguruwe 1kg ni zaidi ya 12,000 wakati mbuzi au ng'ombe hafiki hata mwekundu, I don't see any logic hapa.
 
Yaani uuziwe nyama ya nguruwe kwa bei ya nyama ya mbuzi? Unajua thamani ya nyama ya nguruwe lakini?
Ni sawa na kusema nimeenda kunua mafuta ya taa wakanifanyia uhuni wakanipa dizeli.
Hajui thamani kitimoto, haiwezi kuwa cheap kama ya mbuzi
 
Hivi unajua kitimoto nighali kuliko mbuzi? Sasa mtu anakupaje 🐷 kwa bei ya 🐐?

Unasema uligungiwa kwenye foil ukaenda kutupa ila heading unasema umelishwa huoni we ni muongo?

Karibu shehe kitimoto🐽🐽🐷🐷
 
Usingeitupa,ungempelekea Jenerali Sabaya pale Jela Kisongo,angekushukuru sana
 
Kama haina madhara shida iko wapi? Kula upate afya, imani na dini visiponze mwili wako ukose lishe bora
 
Hii ni kamba walai , kitimoto uuziwe kizembe ilivuokuwa na uhitaji kiasi iki, kitimoto choma we mjinga kawadanganye walevi wenzako
 
Mleta uzi ww ni zwazwa,lengo lako tuone nyama ya nguruwe ni Kharamu au?
Hatuachi kuila kama ninyi vijana mnavyonyonya papuchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…