ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

Hasira hasara!
Kaacha jiko wenzie wanajinafasi
RIP Yohana[emoji24][emoji24]
 
Poleni familia,huyo mke hili halitamtoka kichwani maisha yake yote.
 
Polisi mna laana nyie ila hata huyo mwanamke dhambi hio itamuandama. mpaka jehannam
 
Kuchapiwa uchapiwe
Na kuuliwa uuliwe
Aise hawa viumbe nuksi kichizi

Ova
 
Nilishamwambia mke wng, siku akinichoka aniambie na ntamsikiliza, nami vivyo hivyo, hakuna cha kuita wachungaji, wala kwenda bakwata, au kuita wasimamizi wa ndoa,
Yaani tunamalizana kimya kimya bila kelele!
Hapo sawa sawa kabisa

Ova
 
Wadogo zangu punguzeni wivu,mkishindwana we achia ngazi tu,
Usipige mwanamke unaweza kuua,Wala usipigane na njemba inayokugongea,
Tafuta mwingine,penda lakini uwe tayari kuachia,
Huyo sio ndugu yako,Wala mzazi wako,
Kama alikupendea pesa,wapo wengi wenye pesa,kama alikupendea uhandsome boy,ma HB wapo kibao kila kona,
 
Na hii ndo point muhimu unakufa kisa mapenzi??ee Mungu endelea kunijalia moyo mgumu kwenye swala zima la mapenzi
 
Tulisha sema humu ukiona mke anachepuka na ukang'ang'aniakuwa nae.. Utaishia jela au mmoja wapo atapoteza maisha.
 
Angekuepo polisi kule Marekani Kaua mtu mweusi hii kesi mngemlaumu polisi wa kizungu .
 
Ilibidi ampige risasi ya mguu sio kwenye kifua alidhamiria kuua huyu Askari kabisa
 
Mmmmmmmmhhhh! Mke wako, uibiwe wewe, ulalamike wewe, upigwe risasi wewe na ufe wewe. Huyu mama siamini kama atakuwa salama katika maisha yake
 
Kwenu ndugu wa mwanaume,

Achaneni na hili tukio, hao wahusika wamepata adhabu kali ya kubeba hatia maisha yao yote, kila siku. Hakuna mtu jeuri, sugu, mtukutu mbele ya hatia!

kwenu ninyi wachepukaji:

mchepuko ni mtamu kwa sababu hamuishi pamoja.
 
Kosa la marehemu, askari huyoooo kahepa
 
Kiongozi Salama
Mimi Niko Nje Ya Mada Kidogo
Siku Hizi Avatar Yako Mbona Haitingishi T*k* Nini Kimetokea Ama
Ila Jf asee [emoji1787][emoji1787][emoji1787], ila na mm nimeikumbuka hyo avatar ya mkuu inayotingisha katako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…