ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

Kweli dunia hii ni ngumu sana na kuna wanawake mashetani.binafsi niliacha kupenda miaka 7 iliyo pita .sababu ya upuzi kama huu
 
Askari wenye mafunzo ya kijeshi na wana bunduki wanashindwa vipi ku neutralize raia mwenye panga mpaka wampige risasi ya kifua?

Hii haiingii akilini kabisa kwa mtu mwenye kujielewa.
Tatizo askari polisi bado wanaishi katika mawazo ya magufuli kwamba dawa ni kuuwa tu kisa wao ndio wapelelezi hivyo wana weza kutwngeneza kesi watakavyo ina sasa hapo wamesha hamisha kesi na kamanda wa polisi kakubali kuibeba dhambi hiyo bila huruma.
 
Hawa jamaa nawachukia kuliko chochote. Hawana maana
Hapo kungekuwa na vyombo huru vya upelelezi simu ya huyo mama ingechukuliwa ili kukagua mawasiliano yake na huyo afande na hatua zichukuliwe kwa haki lakini kwa polisi hawa wa tanzania ninao wajua hapo kesi imeisha wamebaki ndugu tu wa marehemu kuchukua hatua
 
Haya mambo ni mepesi kujibu ukiwa nyuma ya keyboard lakini usiombe yakukute.....ni watu wachache sana wanaovuka salama kwenye mitihani ya mapenzi......kwenye mambo yanayohusu mapenzi huwa simlaumu mtu kwa jambo lolote au hatua yoyote atakayoifanya maana mtu anapozama penzi anapoteza sehemu kubwa ya utendaji kazi wa ubongo wake...........

USIOMBE YAKUKUTE......
Kweli mkuu omba yasikukute yasikie kwa mwenzio
 
Askari jeshi ametumia nguvu kubwa sana ambayo ilikuwa haina uhitaji wala ulazima,ni kama kumuua sisimizi kwa rungu.
 
Amepatwa na karma, kisa cha kumpiaga wife wake ni nini? Kama mtu anachepuka si unamuacha. Unaanzaje kung'ang'anua kuishi na msaliti?
Mara nyingi mawazo ya aina hii huwa ni ya vijana ambao hawajaoa na wanaishi kihuni , ila kwa aliye oa mke kihalali na wakaishi kwa kitambo kidogo na wakajaaliwa kupata familia, kuacha mke si jamboa jepesi jepesi tu kama unavyo lifikiria wewe ingawa hiyo haikufanyi usimuache mje mkorofi
 
Amepatwa na karma, kisa cha kumpiaga wife wake ni nini? Kama mtu anachepuka si unamuacha. Unaanzaje kung'ang'anua kuishi na msaliti?
Shida hapa ni kupigwa risasi jamaa.huwezi jua mgororo umedumu muda gani.kuacha ndo suluhu namba moja
 
Marehemu alikuwa ana kichaa cha mapenzi.Mtu ambaye hukumtoa bikra,ulimkuta akiwa na meno 32 yameshaota,huna undugu naye hata kidogo;Akiamua kuchukua 50 zake kwanini usiachane naye?Wanawake mbona wako wengi na kila siku wazuri wanaendelea kuzaliwa?Angeachana naye kiroho safi,sasa hivi angekuwa bado yuko hai,sanasana maumivu ya moyo angeyapata siku za mwanzo mwanzo,baadae maisha yangiendelea.Ona sasa uhai wake umepotea na mwanamke amemuacha anaendelea kuvinjari na madume mengine!
Kibao kimegeuka ....!!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi mawazo ya aina hii huwa ni ya vijana ambao hawajaoa na wanaishi kihuni , ila kwa aliye oa mke kihalali na wakaishi kwa kitambo kidogo na wakajaaliwa kupata familia, kuacha mke si jamboa jepesi jepesi tu kama unavyo lifikiria wewe ingawa hiyo haikufanyi usimuache mje mkorofi
Alternative sio kupiga na kubeba panga.
 
Umuhimu wa mtu huonekana pale mtu huyo akiwa hayupo, sasa huyo mke ndiyo atajua na hicho kifo yeye kasababisha pia. Ila askari why upige mtu risasi ya kifua, kwani ya mguuni tu si ingetosha kumdhibiti jamani😒😒 .R.I.P mume halali
 
Kibao kimegeuka ....!!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Kweli na askari wanavyojua kulindana itaonekana marehemu alikuwa anakataa kutii amri halali ya polisi na kutumia panga lake kutaka kujeruhi polisi.Tunajua wote bila ushahidi wa polisi mahakama haiwezi kuamua.Na hata kama angepona bado angefunguliwa mashtaka ya kutishia kuua kwa kutumia kitu chenye ncha kali ,Panga!
 
Ishapigwa chenga matata hapo Askari hana hatia....
Apumzike kwa amani, Paulina huo ni msalaba wake.
Jamaa akasema Mungu anipe nini aacha nikumalizie kabsaa ili tuendelee kula raha za nchi, presha, sukari aliona vinamchelewesha.
 
Hapo ukisoma kwa makini. Hiyo kesi wote watatu wana makosa pauline ana makosa, polisi ana makosa na marehemu pia ana makosa. Hata kama ni nyie mngekua ndo huyo polisi ni lazima mngejihami tu. Sasa kama marehemu angemkata kweri hilo panga? Ilikua ni lazima ajihami. Mim ndo maana sitokuja kuoa. Tena habari kama hizi ndo zinanikata moto kabisa.
Hahahahaha mzee baba unafeli mwanangu ..njoo Qatar ule watoto was kiarabu.

Sikupati Ile namba yako ipatikani mzee
 
Hapo ukisoma kwa makini. Hiyo kesi wote watatu wana makosa pauline ana makosa, polisi ana makosa na marehemu pia ana makosa. Hata kama ni nyie mngekua ndo huyo polisi ni lazima mngejihami tu. Sasa kama marehemu angemkata kweri hilo panga? Ilikua ni lazima ajihami. Mim ndo maana sitokuja kuoa. Tena habari kama hizi ndo zinanikata moto kabisa.
Kwani mfyatua risasi angekimbia kutafta siraha nyingine kama mabomu ya machozi hilo panga lingemfikia, alitaka kumuua nakusudi kabsaaa!!
 
Back
Top Bottom