Funga mdomo wewe acha kutetea ujingaAskari yupo sahihi hata kama alikuwa anatembea na huyo Paulina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funga mdomo wewe acha kutetea ujingaAskari yupo sahihi hata kama alikuwa anatembea na huyo Paulina.
Tatizo askari polisi bado wanaishi katika mawazo ya magufuli kwamba dawa ni kuuwa tu kisa wao ndio wapelelezi hivyo wana weza kutwngeneza kesi watakavyo ina sasa hapo wamesha hamisha kesi na kamanda wa polisi kakubali kuibeba dhambi hiyo bila huruma.Askari wenye mafunzo ya kijeshi na wana bunduki wanashindwa vipi ku neutralize raia mwenye panga mpaka wampige risasi ya kifua?
Hii haiingii akilini kabisa kwa mtu mwenye kujielewa.
Tatizo askari polisi bado wanaishi katika mawazo ya magufuli kwamba dawa ni kuuwa tu kisa wao ndio wapelelezi hivyo wana weza kutwngeneza kesi watakavyo ina sasa hapo wamesha hamisha kesi na kamanda wa polisi kakubali kuibeba dhambi hiyo bila huruma.Askari wenye mafunzo ya kijeshi na wana bunduki wanashindwa vipi ku neutralize raia mwenye panga mpaka wampige risasi ya kifua?
Hii haiingii akilini kabisa kwa mtu mwenye kujielewa.
Hapo kungekuwa na vyombo huru vya upelelezi simu ya huyo mama ingechukuliwa ili kukagua mawasiliano yake na huyo afande na hatua zichukuliwe kwa haki lakini kwa polisi hawa wa tanzania ninao wajua hapo kesi imeisha wamebaki ndugu tu wa marehemu kuchukua hatuaHawa jamaa nawachukia kuliko chochote. Hawana maana
Kweli mkuu omba yasikukute yasikie kwa mwenzioHaya mambo ni mepesi kujibu ukiwa nyuma ya keyboard lakini usiombe yakukute.....ni watu wachache sana wanaovuka salama kwenye mitihani ya mapenzi......kwenye mambo yanayohusu mapenzi huwa simlaumu mtu kwa jambo lolote au hatua yoyote atakayoifanya maana mtu anapozama penzi anapoteza sehemu kubwa ya utendaji kazi wa ubongo wake...........
USIOMBE YAKUKUTE......
Amepatwa na karma, kisa cha kumpiaga wife wake ni nini? Kama mtu anachepuka si unamuacha. Unaanzaje kung'ang'anua kuishi na msaliti?Funga mdomo wewe acha kutetea ujinga
Mara nyingi mawazo ya aina hii huwa ni ya vijana ambao hawajaoa na wanaishi kihuni , ila kwa aliye oa mke kihalali na wakaishi kwa kitambo kidogo na wakajaaliwa kupata familia, kuacha mke si jamboa jepesi jepesi tu kama unavyo lifikiria wewe ingawa hiyo haikufanyi usimuache mje mkorofiAmepatwa na karma, kisa cha kumpiaga wife wake ni nini? Kama mtu anachepuka si unamuacha. Unaanzaje kung'ang'anua kuishi na msaliti?
Shida hapa ni kupigwa risasi jamaa.huwezi jua mgororo umedumu muda gani.kuacha ndo suluhu namba mojaAmepatwa na karma, kisa cha kumpiaga wife wake ni nini? Kama mtu anachepuka si unamuacha. Unaanzaje kung'ang'anua kuishi na msaliti?
Amepigwa kwasababu kahatarisha uhai wa wengine.Shida hapa ni kupigwa risasi jamaa.huwezi jua mgororo umedumu muda gani.kuacha ndo suluhu namba moja
Kibao kimegeuka ....!!Marehemu alikuwa ana kichaa cha mapenzi.Mtu ambaye hukumtoa bikra,ulimkuta akiwa na meno 32 yameshaota,huna undugu naye hata kidogo;Akiamua kuchukua 50 zake kwanini usiachane naye?Wanawake mbona wako wengi na kila siku wazuri wanaendelea kuzaliwa?Angeachana naye kiroho safi,sasa hivi angekuwa bado yuko hai,sanasana maumivu ya moyo angeyapata siku za mwanzo mwanzo,baadae maisha yangiendelea.Ona sasa uhai wake umepotea na mwanamke amemuacha anaendelea kuvinjari na madume mengine!
Alternative sio kupiga na kubeba panga.Mara nyingi mawazo ya aina hii huwa ni ya vijana ambao hawajaoa na wanaishi kihuni , ila kwa aliye oa mke kihalali na wakaishi kwa kitambo kidogo na wakajaaliwa kupata familia, kuacha mke si jamboa jepesi jepesi tu kama unavyo lifikiria wewe ingawa hiyo haikufanyi usimuache mje mkorofi
Kapigwa risasi kwa hila za mapenzi ukweli ndo huoAmepigwa kwasababu kahatarisha uhai wa wengine.
Kweli na askari wanavyojua kulindana itaonekana marehemu alikuwa anakataa kutii amri halali ya polisi na kutumia panga lake kutaka kujeruhi polisi.Tunajua wote bila ushahidi wa polisi mahakama haiwezi kuamua.Na hata kama angepona bado angefunguliwa mashtaka ya kutishia kuua kwa kutumia kitu chenye ncha kali ,Panga!
Jamaa akasema Mungu anipe nini aacha nikumalizie kabsaa ili tuendelee kula raha za nchi, presha, sukari aliona vinamchelewesha.Ishapigwa chenga matata hapo Askari hana hatia....
Apumzike kwa amani, Paulina huo ni msalaba wake.
Hahahaha wee jamaa bwana umecheki Hadi ukajua jamaa avatar yake katuni wamestuckKiongozi Salama
Mimi Niko Nje Ya Mada Kidogo
Siku Hizi Avatar Yako Mbona Haitingishi T*k* Nini Kimetokea Ama
Hahahahaha mzee baba unafeli mwanangu ..njoo Qatar ule watoto was kiarabu.Hapo ukisoma kwa makini. Hiyo kesi wote watatu wana makosa pauline ana makosa, polisi ana makosa na marehemu pia ana makosa. Hata kama ni nyie mngekua ndo huyo polisi ni lazima mngejihami tu. Sasa kama marehemu angemkata kweri hilo panga? Ilikua ni lazima ajihami. Mim ndo maana sitokuja kuoa. Tena habari kama hizi ndo zinanikata moto kabisa.
Kwani mfyatua risasi angekimbia kutafta siraha nyingine kama mabomu ya machozi hilo panga lingemfikia, alitaka kumuua nakusudi kabsaaa!!Hapo ukisoma kwa makini. Hiyo kesi wote watatu wana makosa pauline ana makosa, polisi ana makosa na marehemu pia ana makosa. Hata kama ni nyie mngekua ndo huyo polisi ni lazima mngejihami tu. Sasa kama marehemu angemkata kweri hilo panga? Ilikua ni lazima ajihami. Mim ndo maana sitokuja kuoa. Tena habari kama hizi ndo zinanikata moto kabisa.