Pre GE2025 ARUSHA: Rais Samia alirudishia Kanisa Katoliki eneo lao pamoja na Tsh milioni 500 zilizochukuliwa na Halmashauri ya Jiji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tunapisha mahali pengi pakiwamo na hapa. Ni ama mbili ama Moja!!!?

..nasimama na mapendekezo ya TUME YA WARIOBA.

..ile tume ilipokea maoni ya watu wengi na haswa Wazanzibari.

..pia ilikuwa na wajumbe wenye mitizamo tofauti kuhusu muungano, na waamini kindakindaki wa misimamo yao.

..mwisho wa siku, Tume ilipendekeza SERIKALI 3, kama suluhisho la muungano wa Tanganyika, na Zanzibar.
 
Rais Dkt. Samia amewarudishia kanisa katoliki Mkoani Arusha eneo lao walilokuwa wanalimiki kwa muda mrefu na bada uongozi wa Mkoa kwa kushirikiana na halmashauri ya Jiji la Arusha na kisaha kuwataka kanisa katoliki kulipia eneo lao milioni 500 kitu ambacho Rais Samia ameutaka uongozi wa Mkoa kuresha eneo hilo pamoja na fedha walizo chukua.

Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametoa ufafanuzi juu ya eneo la kanisa katoliki walilokuwa wakimiliki kwa siku nyingi na wakanyang'anywa na badae wakatakiwa kulinunua tena na wala eneo hilo halikuwa la serikali ila viongozi waliyokuwepo walikubali kupokea fedha ambazo hawakustahili.

"Jana nimezungumza na Mhe. Rais Samia kumueleza jambo hili na akanambia kwamba, Niwaelekeze Mkoa pamoja na Jiji kuwa eneo hilo lilejeshwe haraka kanisa mara moja na fedha hizo Milioni 500 zilejeshwe kanisani mara moja". Amesema Mchengerwa.

"Nawaelekeza nyinyi Mkoa chini yako Rc Paul Makonda mzirejeshe fedha hizo kwa namna mlivyo zichukua mwanzo na njia hiyo hiyo zirudi kanisani hayo ni maelekezo ya Rais Dkt. Samia". Amesema Mchengerwa.
Nali aliyetoa amri kanisa liporwe?
ni dini gani?
nani alimtuma?
sasa hivi ana cheo gani?
 
"Nawaelekeza nyinyi Mkoa chini yako Rc Paul Makonda mzirejeshe fedha hizo kwa namna mlivyo zichukua mwanzo na njia hiyo hiyo zirudi kanisani hayo ni maelekezo ya Rais Dkt. Samia". Amesema Mchengerwa.
Hii ni kampeni tu ya Samia, akijua Tanzania kuna Wakatoliki wengi na hadi sasa ni kura za Waislamu wachache tu anazotumainia kumvusha 2025

Kama kweli ana moyo wa haki juu ya maeneo yaliyoporwa, aamuru CCM irudishe viwanja ilivyopora kwa serikali za mitaa, kwa sababu vilichangiwa na wananchi chini ya chama kimoja hivyo CCM hawana haki ya kujimilikisha
 
Rais Dkt. Samia amewarudishia kanisa katoliki Mkoani Arusha eneo lao walilokuwa wanalimiki kwa muda mrefu na bada uongozi wa Mkoa kwa kushirikiana na halmashauri ya Jiji la Arusha na kisaha kuwataka kanisa katoliki kulipia eneo lao milioni 500 kitu ambacho Rais Samia ameutaka uongozi wa Mkoa kuresha eneo hilo pamoja na fedha walizo chukua.

Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametoa ufafanuzi juu ya eneo la kanisa katoliki walilokuwa wakimiliki kwa siku nyingi na wakanyang'anywa na badae wakatakiwa kulinunua tena na wala eneo hilo halikuwa la serikali ila viongozi waliyokuwepo walikubali kupokea fedha ambazo hawakustahili.

"Jana nimezungumza na Mhe. Rais Samia kumueleza jambo hili na akanambia kwamba, Niwaelekeze Mkoa pamoja na Jiji kuwa eneo hilo lilejeshwe haraka kanisa mara moja na fedha hizo Milioni 500 zilejeshwe kanisani mara moja". Amesema Mchengerwa.

"Nawaelekeza nyinyi Mkoa chini yako Rc Paul Makonda mzirejeshe fedha hizo kwa namna mlivyo zichukua mwanzo na njia hiyo hiyo zirudi kanisani hayo ni maelekezo ya Rais Dkt. Samia". Amesema Mchengerwa.

Drama wanaiba wale wale wanarudisha walichoiba walewale na wanataka kusifiwa walewale. Tanzania kuna mambo
 
Labda mzigo wa matako.mademu wanawalia hela kishenzi wenzenu wanatupa bure
Kwenye kupenda vya bure hamjambo...ndomaana mnapiddy-iwa Sana machokonizers wakubwa nyie!

Unakuta kijitu kizima na hakina ulemavu kinaomba hela kama kingese vile
 
MAshoga wengi wao ni wasukyuma na wachaga,uishi na ngombe afu uwe na akili
 
WAHADAA WAKUBWA hawa, stori hai make sense... wanatufanya sisi ni maboya kupindukia... Waziri anasema hajui utaratibu uliotumika kuchukua kanisa, watakuja wamweleza baadae. Sasa kampa taarifa gani Rais ? Rais hakutaka kujua the whole story kabla ya kutoa maamuzi ????

Halafu, mamlaka ya kudai haki /dhulma za majengo, ardhi, mali, ziko mahakamani, na ziko kwenye rufaa ndani na juu ya taasisi zilizotoa maamuzi. Sio kwa Rais. Vipi mali ambazo Mchengerwa hajazitembelea, na hazijafika kwa Rais, na sio makanisa na misikiti? Wapateje hazi zao ???

Mkimpa Rais nguvu za kurudisha ardhi kwa amri, bila maelezo ya palipokosewa utaratibu, na wanarekebishaje, ila mnachekelea tu, basi msilalamike anapojitwalia maeneo, na kuwahamisha, na kuwapa Waarabu, again, bila maelezo, na bila utaratibu, na bila rufaa.

Watanganyika, tuchangamshe akili zetu kidogo, tuamke! Hivi vitu si sawa, na sivyo wanavyotawalana nchi zilizoendelea...
 
Nenda kasome katiba ya Tanzania ndiyo utajua mamlaka ya Rais achaa kulialia!!
 
Ugumu wa hii nchi ni pale ambapo hata viongozi wa serikali wanapiga makofi yaani uanatengeneza tatizo mama akilitatua unamsifia wewe mwenyewe
 
Nenda kasome katiba ya Tanzania ndiyo utajua mamlaka ya Rais achaa kulialia!!

Ndio hiyo tunayotaka kuichana chana Katiba kichaa ya Nyerere.

Kwa nini binadamu mmoja apewe trusteeship ya mali ya nchi ?
 
So far katiba ya Tanzania iko vizuri sana kuliko katiba zote za Africa Mashariki!!
 
Rushwa ya uchaguzi
Ila Jiji la Arusha tangu ikiwa manispaa ya Arusha ni majambazi na mafisadi wakubwa sana kuliko halmashauri zote nchini! Wana laana kubwa sana na wanabebwa na maccm TU!
 
Back
Top Bottom