Pre GE2025 ARUSHA: Rais Samia alirudishia Kanisa Katoliki eneo lao pamoja na Tsh milioni 500 zilizochukuliwa na Halmashauri ya Jiji

Pre GE2025 ARUSHA: Rais Samia alirudishia Kanisa Katoliki eneo lao pamoja na Tsh milioni 500 zilizochukuliwa na Halmashauri ya Jiji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
aisee lema alitaka kuifanya arusha pango la wanyang'anyi
 
Kasongo yeyeyee
Mobali nangaa
Kasongo mbona yeyo...
 
Sasa mmeenda kwenye kisababishi kilichofikisha hapo? Maana naona imeamuliwa kirahisi sana kama vile halikuwa tatizo,ilikuwaje mpaka kanisa wakalipia kiwanja chao? Ni wangapi watakutana na hiyo bahati ya mtende ya kurudishiwa mali waliyoporwa?hakuna wengine wenye changamoto kama hizo?rip Babu Rama.
Mkuu, na wale walio bomolewa nyumba zao kule Kimara/Mbezi/Kiluvia awakumbuke, japo kwa kifuta machozi tu.
 
Back
Top Bottom