Arusha: Rais Samia atoa TZS 520BL sawa na 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka

Mbona zimetolewa awamu ya tano na mradi karibu unakamilika
Onyesha zilipotolewa ile awamu ya masifa, yaani watoa pesa yote hiyo waache kwenda kuuza sura na kujigamba kwenye vyombo vya habari,labda sio awamu ya 5 nayoijua..mtu hadi kuzindua choo ilikuwa sherehe ya kitaifa sembuse mradi wa mabilioni?
 
Rudi shule ukajifunze propaganda, huo mradi ni wa enzi za JK, tena dhalimu alitaka kupora hizo hela apeleke huo mradi kanda ya ziwa, watoa mkopo wakamgomea. Katafuteni wajinga wasiojua lolote ndio uwalishe hii propaganda mfu.
Acha ujinga! Huo mradi JK anahusikaje? Na magufuli anahusikaje kutaka kuupora? Acha upumbavu wewe!
 
Bange tupu hii.
 
Toilet pepa on work.

#MaendeleoHayanaChama
 
Onyesha zilipotolewa ile awamu ya masifa, yaani watoa pesa yote hiyo waache kwenda kuuza sura na kujigamba kwenye vyombo vya habari,labda sio awamu ya 5 nayoijua..mtu hadi kuzindua choo ilikuwa sherehe ya kitaifa sembuse mradi wa mabilioni?
Hii awamu kwa pinga pinga ni mbaya sana kwao
 
Ule mradi alioacha magufuli wa bilion mia tano hadi mia sita uliisha au huo ni mwingine mpya?
Na mpaka sasa umefikia % ngapi uishe?
Tujuzane ili tumpe mama hongera ila kwa miradi miwili mikubwa sehemu moja kungine hakuna shida ya maji?
 
Huu mradi ulikuwa hata kabla Magu hajaanza serikali ya awamu ya 5, JPM alivyoingia WB wakatoa hela hizo zote tshs 520B, mradi ukaanza, ndio hapo umefikia. Tuwekeni record vizuri.
 
Chadema msimu huu mtachakaa,
Hata sio chadema..we unadhani kila mpinzani humu ni chadema acha upompoma..ila tu jua walikuwepo toilet pepa kama wewe endelea kutumika.

#MaendeleoHayanaChama
 
Acha ujinga! Huo mradi JK anahusikaje? Na magufuli anahusikaje kutaka kuupora? Acha upumbavu wewe!
Ndugu yangu humu siku hizi kuna stori zingine kama za bangi movie muda mwingine unasoma unashangaa tu
 
Maendeleo ya Watu Vs Maendeleo ya Vitu.

Siku watu watakapoambiwa kuwa Mama aamua Mijadala ya Katiba Mpya na Tume Huru ianze na kukamilika kwa mambo haya kiukamilifu iwe Ni mwaka 2024 watu watafurahi Sana.

Haya mawili yatajenga mfumo madhubuti sana kupelekea kwenye kuyatafuta maendeleo ya Watu.
 
sahihisha ameidhinisha na siyo ametoa, kwani za kwake hizo ndugu.
 
AMETOA YEYE AU SERIKALI? HIZO SI KODI ZA WANANCHI?

HIVI HUWA MNAFIKIRIA KWA KUTUMIA MAKALIO?
Yule profesa alimponda sana magufuli kuwa hakuwahi kutokea kuwa kauli kuwa raisi katoa hela sasa sijui Kama hili atapinga kwa kuwa ni wa imani yake
 
Maza muongo jpm hamfikii hata nusu,huo mradi wenyewe thamani yake 520bn tumekopeshwa toka 2015 wakti wa jk...leo anakuja kuropoka katoa pesa za mradi,wakti mradi unafadhiliwa na world bank,ccm hawana jipya na huyu maza kila uchwao anajitia aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…