Arusha: Rais Samia atoa TZS 520BL sawa na 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka

Mbona zimetolewa awamu ya tano na mradi karibu unakamilika
Mkuu Acha upotoshaji! Zile pesa hazikutolewa na awamu wa
Kama pesa hazikuwepo sasa unaongea nini? Mzee mipango sio matumizi,mama kakata mzizi wa fitina wa miaka na mikaka,kongole kwake pole yako.
Fedha zimekuwa released kabla hata ile bahati nasibu haijachezwa!! Jifunze kusoma na kuelewa!
 
Pesa yetu wenyewe tunakamuliwa kwa maumivu makali sana.
 
Imradi tu iwepo sehemu ya kumponda mwendazake na kumsifia JK.Tuna upinzani wa ovyo sana.Nyie watu Magufuli alishakufa na hakuna haja ya kuendelea kupambana naye kama njia ya kushika dora.

Wapi nimemsifia JK? Dhalimu lazima awekwe wazi.
 
Shetani lazima apigwe vita bila kujali yuko hai au kuzimu. Tuingie madarakani kwani tuna tume ya uchaguzi na vyombo vya dola?
unajichanganya sana hahahahhah. Chuki dhidi ya Magufuli hazitawaingiza madarakani
 
Mkuu bado unajichanganya,

Mradi ni pesa hakuna pesa hakuna mradi
Kama pesa zimetolewa leo 2022 ndio mradi wenyewe huo ,
Wapi nimesema hizo pesa zimetolewa leo na huyo #SSH?
Je, unajua zilikotoka hizo fedha??
 
Hakika kaskazini tumuunge mkono
 
Maswali gani haya?

Wewe unapingana na kauli ya waziri wa maji?
Mkuu unapoambiwa jambo tena na mwanasiasa ukiliamini jumla jumla itakula kwako.
Waliopo Arusha wanaujua ukweli wa huo mradi...!
AMKA! Jitambue! Mawaziri wapo kumfurahisha bosi wao!




Au Chief Hangaya kaongeza mahela mengine juzi alipokuja ziarani?
 
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Sasa kama ule mradi wenu ulikuwa ukamilike mwaka 2020 leo ni 2020

Shida nini?

Ndio maana nasema pesa ndio mradi Rais Samia katoa pesa na ndicho nilichosema
 
Huu mradi ulikuwa hata kabla Magu hajaanza serikali ya awamu ya 5, JPM alivyoingia WB wakatoa hela hizo zote tshs 520B, mradi ukaanza, ndio hapo umefikia. Tuwekeni record vizuri.
Khaaa Chadema siwawezi alo,

Sasa huo mradi ni wamiaka mingapi?
 
Sasa kama ule mradi wenu ulikuwa ukamilike mwaka 2020 leo ni 2020

Shida nini?

Ndio maana nasema pesa ndio mradi Rais Samia katoa pesa na ndicho nilichosema
Siwezi kubishana na wewe... Si akili zako hizo!
 
Khaaa Chadema siwawezi alo,

Sasa huo mradi ni wamiaka mingapi?

Ww umejiunga juzi tu huku JF, watu wanakushangaa, hujui hata nani CCM, nani CDM nani hana chama, naona unadandia treni kwa mbele tu, jifunze kwanza JF ikoje, acha kurukaruka, wako watu wana akili kubwa huku, usidhani unaleta habari hovyo hovyo, kuwa makini, nadhani uchanga unakusumbua, hujakomaa bado huku JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…