Pre GE2025 Arusha: RC Makonda aiagiza TAKUKURU kumhoji Mrisho Gambo upotevu wa Tsh. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mungu uwa hapendi wasioteshaka na kutaka walivyonavyo nao wenzao. Wakati wewe tayari upo kwenye nafasi ambayo wengi wangeshukuru kuwa hapo.

Konde la bwana godi kwa Makonda haliko mbali; unapata picha kwanini kati ya vijana wote wa Magufuli huyu na Sabaya ndio waliowakera wengi.
 
Masikini Gambo kaanza kuandamwa na Dola.

MamaSamia2025 ChoiceVariable Tui
 
Safi sana kama wataanza vita baridi wao kwa wao itapendeza sana !!
KARMA is for real 😳 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…