thundercat8
Senior Member
- Nov 25, 2015
- 172
- 384
Simba kala mtu ni habari, ila mtu kala simba ni habari ya kusisimua.😁Fisi anakula fisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba kala mtu ni habari, ila mtu kala simba ni habari ya kusisimua.😁Fisi anakula fisi
Magufuli alimtoa wakati tayari kashajaza fomu za kuutaka ubunge. Uwe na kumbukumbu.Kwanini Ikulu isimtoe kwenye nafasi hiyo kama nia yake ni kugombea ubunge, kama alivyofanya Magufuli?
bashite siku zote huwa hatumii akili.Makonda hangaika na stand hapo Arusha wahuni wanakula hela tu za jiji bila kufanya vitu vya maana hayo ya michango ya harusi ya achana nayo naona umeamua kutumia jeshi kupambana na mzala mwenzio na hii katika itifaki za kazi sijui kama inakubaliaka yaani Mkuu wa mkoa anaagiza Takukuru wamchunguze Mkuu wa Mkoa aliepita Tanzania mimi sihami aisee..
wawaache kwanza hao massm wawili watafunaneeee wakichoka Lema akachukue lile jimbo.Lema gombea ubunge Arusha mjini. Siasa za bashite ni za kisenge. Huu ndio mda wa chedema kufanya mashambulizi ya kutosha arusha
Makonda sio mwenzenu, ni plant ya mfumo kila analofanya ni amriWitch hunting.
Huyu Makonda hata baada ya kupewa second chance hajajifunza humility tu?
Binafsi sijawahi kuona faida ya takukuru nchi hii Haina mana yoyote wanakula pesa za Bure tu kama mishahara,,labda kama mwamba JPM angekuepo..Hivi TAKUKURU na Makonda Mkuu wa Mkoa nani ametangulia kufika Arusha? Ni nani anayo pua ya kunusa harufu ya rushwa kambla ya mwingine?
Yaani ikifikia hatua mwalimu anakumbushiwa kuingia darasani kufundisha wanafunzi kila wakati japo ni kazi yake, huyo mwalimu hastahili kuendelea kuwa na sifa ya mwalimu.
TAKUKURU NYIE NI MZIGO KWA TAIFA. Inastahili TAKUKURU ivunjwe inaleta hasara kubwa kuliko faida.
Ni kweli kabisa..maugomvi yao watajua wenyewe wauane wakitane visu watajuaKarma ni Kama kula nyama ya mtu
By the way wenye D mbili tunaelewa ni movie ya kututoa kwenye No reform no election na NETO
Lissu na Walimu shikilieni hapo hapo
Mwenye Ile Picture Ya Fisi Akiwa Amekibeba Kichwa Cha Fisi Mwenzake Ailete Sasa Kwenye Thread Hii. Kumeanza Kupata Moto Arusha Kuelekea October 2025
Asiye Na Mwana Aeleke Jiwe