Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

UPDATE:

Nyumba ya bwana Ramji imevunjwa na wananchi na baada ya kuvunjwa, Polisi walikuja na mtuhumiwa kuonesha mambo mbali mbali yaliyojificha kwenye nyumba hiyo na walichimbua ardhini na kukuta baadhi ya viungo na vitu vilivyofungwa mithili ya vifurushi vidogo vya nguo.

baadhi ya viungo ni macho, moyo, vidole, sehemu za siri pamoja na mijusi iliokauka.
View attachment 3123738
Dah

Dini gani jamaa?
 
.....

Bado maelezo zaidi yanahitajika,kuelewa hizo risiti sio kazi ndogo.

Ada ya tsh 100,200,kwa ajili ya kifo mbona ni vitu visivyoeleweka?,Je ni vifo kweli au wameamua kutumia neno "Vifo" kumaanisha kitu kingine?

Pia inawezekana ni mchango wa chama kwa ajili ya rambirambi kwa waliofiwa.
Nahisi ni rambirambi.
 
200/- around 1990s ilikuwa kitita kikubwa cha pesa.
Nikiangalia hizo risiti naona zilikua printed and not typed( kutumia type writer),, sidhani kama miaka ya 90's printer zilikua common kiasi cha kuprint risiti kwa matumizi ya michango ya vifo (maybe).. Pengine wakongwe wanaweza eleza.
 
Kumbuka ni arusha mjini, sio kijijinii kwetu majohe.
Chini ni mfano wa thamani ya pesa ilivyokuwa miaka ya nyuma
 
Attachments

  • P-IMG-20230505-WA0089.jpg
    P-IMG-20230505-WA0089.jpg
    100.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom