Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

Kuna ndugu yao humu kunbe ndio desturi yao
Ila yule wa humu hauwi anawatunza😅
 
Kule Shinyanga walianza kuwaua watu kama hawa , mkaleta demokrasi ila washirikina ni nuksi kinoma .
 
kuna baadhi ya karatasi ni ushirikina pure labda kama hujui ....Mimi uniniletea maandishi ya kishirikina wakiwa na michoro hata uandike kichina najua .

pia , naweza kukuambia walikuwa wanaaminisha nn? hiyo elimu ipo wapi kabisa ni sanaa ila sio nzuri.
 
Ndugu, unashindwa kabisa kuelewa kilichotokea. Malipo hufanyika baada ya idadi fulani ya vifo kwa kuua... Ukipata i.e vichwa tisa unalipwa.. Chama kipi hicho cha maiti kuwekwa chini ya uvungu wa kitanda... Jaribu kusikiliza kwa umakini ufaham wako upanuke
Mbona kama inaonekana ni risiti za malipo ya michango ya chama chao cha kufa na kuzikana?

Hakuna cha ajabu hapo
 
Ndio mambo mnapenda wabongo haya. Ushajipa na uhakika kabisa kuwa risiti ni za idadi ya vifo mtu akiua.

Kila mtu abaki na mawazo yake. Wewe kama umeshapanuka baki hivyo hivyo inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…