Arusha: Sabaya na wenzake wafikishwa Mahakamani. Kesi yaahirishwa baada ya mashahidi kukosekana Mahakamani

Mashahidi wameanza kununulika
Kuna mchezo mchafu
 
Kazi ya kubaka wanafunzi wa kike, kazi ya kupiga watu misumari kwenye miguu, kazi ya kuvamia mahotel ili kupora fedha. Kazi ya kuua wapinzania ili upinzani ushindwe! Kazi kubwa "my foot"
 
Kwani huyo shahidi si ktk kesi moja tu ambayo ushahidi umekamilika?
Kesi ziko saba subiri acha kuwa kama unaharisha
 
Si uzipeleke mahakamani?
Zitaenda.
Jamaa yenu ni mtu mdogo kuna mawaziri walishatumikia vifungo na kupanda lile basi.

Na lile bas i lilinunuliwa sababau ya hao mawaziri ilikuwa kupooza aibu. Kabla ya hapo ilikuwa karandinga lenye nyavu ma nondo

Hao masangoma wanakula hela zenu, hamwezi kuwanunua wote.
Sangoma anacheza kotekote, ukitoka wewe anampigia simu mbaya wako anampa full story.
Kesi inakuwa haiishi.

Mwisho unahamia kwa sangoma mwingine tapeli kuliko wa kwanza
 
Hizo kazi nyingi ndiko alikopitia ktk kudhulumu.

Mteteeni mtandaoni mkimaliza nendeni na mahakamani mkamtetee.

Ili kuweza kua karibu nae omba uolewe nae
 
wezi wakubwa nyie.

huyu kenge mweusi anaozea jela pambafu kabisa.
 
Mimi nilivyosoma charge sheet tu nikahisi kuna mchezo wa kupikwa, au kwa lugha ya Rais wetu mpenda " kesi za kubambikiza".
Wewe mtu anapewa tuhuma kubwa "kuendesha genge la ujambazi" ! Shitaka lake, "kupora laki moja"!!!
 
Msilazimishe kesi iishe mapema,kesi huwa inanoga ikikaa muda mrefu
 
Sasa naanza kuamini huyu jamaa alisingiziwa.

Chadema na wafuasi wao wakamzishia Bashiru kuchukua mabilioni ya pesa bank kuu kumbe uongo.

Chadema ni chama kilichojikita kwenye misingi ya uongo na uzushi. Wao ni kutunga uongo na uzushi baadae inakuja kuonekana hakuna ukweli.

Chadema niliwaona hawana akili pale walioanza kumtumia mtu anaitwa kigogo kule Twitter kama reliable sources yao ya taarifa. Pale ndio nilihitimisha kua hiki sio chama cha siasa, ni genge la wahuni tu.
 
Hao unaowasema warudishwe hata wakirudishwa hawawezi kutenda waliotenda.

Mi nakuombea Mungu yakukute au yamkute mwanafamilia yako Yale Sabaya na Makonda waliowafanyia watanzania. Hapo ndio akili yako itaka sawa.

Hivi hujiulizi tu kwa Nini mamlaka zimechukua hatua? Au umeona wooote hawana akili wanamwonea Sabaya?

Subiri yakukute ndio utajua
 
Bwana Hakimu Mfawidhi,sasa mambo ya CHADEMA na Kesi za Sabaya wapi na wapi??acha kuchanganya mambo,muache Sabaya alee mimba yake Kisongo,kumbuka kumpelekea Sabuni na Nyembe,ni bidhaa adimu sana kule jela
 
Kazi ya kubaka wanafunzi wa kike, kazi ya kupiga watu misumari kwenye miguu, kazi ya kuvamia mahotel ili kupora fedha. Kazi ya kuua wapinzania ili upinzani ushindwe! Kazi kubwa "my foot"
Mliobakwa nendeni mkatoe ushahidi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…