Arusha: Sabaya na wenzake wafikishwa Mahakamani. Kesi yaahirishwa baada ya mashahidi kukosekana Mahakamani

 

Binafsi naujua ujinga wa wote hao wawili, wala sihitaji uniambie...binafsi nilikuwa katika watu niliowapigia sana kelele na kuwapinga wote na baba yao na kusikitika sana kwa matendo yao.

imefikia mahala nimebadili mtizamo na kuona kuna mahala hao watu wanahitajika pia ili wapumbavu na wajinga fulani wasilete madhara makubwa yanayoweza kuangamiza halaiki..

Kuna wakati lazima tutambue waAfrica wanahitaji mkono wa chuma kuwaongoza ili wakae sawa...tofauti na hapo mtakuwa mnacheza mchezo wa paka na panya...Africa bado kila mtu anataka kuwa mwanasiasa na kuamini lazima asikilizwe na asipo sikilizwa basi anaweza kuidanganya umma kwa propaganda na mwisho wa siku mkaingia kwenye shida...sasa watu jamii hii huhitaji diplomasia kudeal nao bali undava ili jamii isiharibiwe na kupotoshwa..Demokrasia Africa bado sio mahala paka..undava kwa sasa ndio stage ambayo Africa ipo..
 
Unfortunately hujawahi kuwa kiongozi hivyo ni busara kukaa kimya kuliko ulichoongea.
 
Kwa sabaya gerezani ni salama zaidi kuliko uraiani... Akirudi uraiani lazima aliwe kichwa!
 
Kuwa na subira. Muda ukifika, kesi itasikilizwa na haki itapatikana kwa pande zote mbili. Sasa kama shahidi ana dharura, unataka kesi isikilizwe tu hivyo hivyo?

Kama ni kuhusu mtuhumiwa! Yeye yuko mahali salama! Hivyo uwe na amani. Haki inacheleweshwa tu. Mwisho itapatikana. Ngoja abadili kwanza mazingira ili awe na adabu wakati mwingine.
 
Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake watano wanaokabiliwa na mashitaka sita yakiwemo mawili ya ujambazi wa kutumia silaha imeahirishwa hadi Julai 16, 2021.

Juni 18, 2021 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Sabaya na wenzake wawili walisomewa mashtaka mawili na leo Ijumaa Julai 2021 ndio ilikuwa siku ya mashahidi kuanza kutoa ushahidi wao lakini ikaelezwa kuwa hawapo.

Wakili wa Serikali, Tarsila Garvas ameomba kupangwa siku nyingine ili mashahidi hao waanze kutoa ushahidi wao na hakimu mkazi mkuu, Salome Mshasha amekubali maombi hayo na kuahirisha kesi hiyo hadi Julai 16, 2021.
 
Hivyo vitabu amepewa part time yakufundisha ujangili?

Naona ana vitabu vingi kuliko masila ya mahakama
 
Sijaelwa ila nadhani hii itakuwa takataka tu.
 

unaona CHOKO wenzio wameanza kutoka nduki kutoa ushahidi wa uongo? na atatoka tu mkome na wivu wenu
Matusi na uchawi ndio njia pekee ya masikini kujiliwaza , Hakuna Shahidi yeyote anayeweza kumuogopa mtu mdogo sana kama Sabaya .

Labda kwa taarifa yako ni kwamba Sabaya amekwisha hata ufanyeje , na labda kwa faida yako na masikini wenzio wengine ni kwamba usalama pekee alionao Sabaya ni kuendelea kuwa jela kwa maisha yote aliyobaki nayo , nadhani unaelewa
 
Anapigishwa tarehe kwanza ili asote ndani kama kina Singa Singa na Rugemarila. Wala sio kwamba mashahidi wamemuogopa mchumba tu huyo.

Kwanza kama ulikua hujui, Sabaya katika geraza la kisongo ni mke wa mtu.
 
Ole Sabaya mtu mwenye tuhuma zisizo na idadi , leo tena amefikishwa mahakamani huko Arusha akiwa amevaa Suti iliyopauka ili kusikiza kesi zinazomkabili...
Haki yake baada ya siku 365 ili awe ametumika kwa kazi nyepesi nyepesi za hapo gerezani, na kuwa na uzoefu wa hilo jumba la wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…