"Arusha sio Tanzania"

Wacha chuki na ukabila wewe. Ukabila ndiyo ulipigwa vita na Nyerere. Kama si nyerere haya makabila ya wahaya na wachaga wangeleta matatizo sana Tanzania.
Angalia Kenya na Uganda mpaka leo wanasumbuliwa na ukabila.
Nyiye wachaga wakina mangi mnafikiri mna own Tanzania, unaleta upumbavu hapa.
 
Very true, Arusha imejengwa na watu wa Kilimanjaro ila kimsingi maeneo yote ya kaskazini watu wako tofauti, wanajitambua
 
Ni mji uliopo katikati ya nchi zote za Africa mashariki,it is tourism city and diplomatic city for East Africa countries
I think mji uliopo katikati kwa EAC ni Mwanza
 
Hakuna mji usipenda kuwa na bahari.... Arusha ya kawaida sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…