Arusha: Stendi ya mabasi ya mikoani inapogeuzwa kuwa soko, pamoja na kituo cha kufanyia biashara haramu

Arusha: Stendi ya mabasi ya mikoani inapogeuzwa kuwa soko, pamoja na kituo cha kufanyia biashara haramu

Pale stend pagumu sana

Wapiga debe wanalala hapo na kujisaidia humo

Usiku kweli kunauzwa pussy zile za fasta fasta!! Kuna siku mornie kali nakakutana na vikaka poa ndo vinatoka doria

Stend ni ndogo sana kukidhi mahitaji ya abiria pamoja na parking

Zile bilion zilizokuwa zinasemwa za stend mpy ziliishia wapi enzi za mrisho gambo!??!!
 
Hii ndo hali halisi ya kituo cha mabasi ya kwenda mikoani jijini Arusha.

Mchana kinageuzwa kuwa soko, ikiwa no pamoja na biashara nyingi haramu na usiku kinageuka kuwa danguro pamoja kuwa sehemu za kulala kwa wale vijana wa mjini wasiokuwa na pakulala wakiwemo na vibaka.

Mabasi mengi kwa Sasa Yana ofisi zao nje ya kituo hicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni pamoja na kukosekana kwa huduma muhimu ndani ya kituo hicho kama vile sehemu za kupumzikia abiria, sehemu za kujificha mvua na jua.

Usalama wa abiria na mizigo Yao n.k
Picha zinakuja
we bwege una ushahidi au una chuki zako binafsi na mji wa Arusha? Pale kuna serikali na ulinzi masaa 24, biashara ni kwasababu ya uchangamfu wa mji na nafikiri ndio kilichokuuma maana huko kwenu kumepoa. Hayo mengine ni ya kwako binafsi we bladifackin
 
Back
Top Bottom