LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Ni ile njia kuu ya kati unakuta muda wowote inawaka taa ya njano pekee hali inayosababisha kuharibu utaratibu kwa watembea kwa miguu hasa wanaotoka Stendi Kuu kuelekea kupanda gari zinazoenda sehemu mbali mbali ndani ya jiji,
Mara nyingi wavuka kwa miguu ni wengi muda wowote hivyo huvuka baada tu ya dereva kuamua kusimama ila sio kwa kuongozwa na taa
Wahusika hamuoni hii hali ni hatari hasa kwa watembea kwa miguu?
Mara nyingi wavuka kwa miguu ni wengi muda wowote hivyo huvuka baada tu ya dereva kuamua kusimama ila sio kwa kuongozwa na taa
Wahusika hamuoni hii hali ni hatari hasa kwa watembea kwa miguu?