Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,566
- 4,013
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia Mweka Hazina wa Kikundi cha Ujasiriamali cha Imani kwa tuhuma za kula Tsh. Million 39 za Wanakikundi na kudai zimeyeyuka kishirikina
Wanakikundi 28 juzi walikesha wakilia nyumbami kwa muweka hazina huyo, Halima Mwidadi, Mkazi wa Osunyai baada ya kuambiwa fedha hizo ambazo walitakiwa kugawana zimepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Wengine waliokamatwa na TAKUKURU ni Katibu wa Kikundi, Deogratius Seif na Mwenyekiti wake, Aisha Saidi ambao walikamatwa jana na kuachiwa kwa dhamana huku muweka hazina akiendelea kusota Mahabusu kwa sababu za kiupelelezi.
www.jamiiforums.com

Hela za vikoba za kikundi zayeyuka kichawi kwenye sanduku nyumbani kwa muweka hazina
Sherehe za kugawana faida katika kikundi cha ujasiriamali cha ‘IMANI’ chenye Makao Makuu yake Ngusero Arusha, zimegeuka majanga na vilio kwa Wanachama na wengine kuzimia ghafla ukumbini baada ya taarifa ya upotevu wa Tsh. Million 39 zinazodaiwa kuyeyuka kwa njia za ushirikina . _ Fedha hizo...