Arusha: Tazama balaa la msafara mrefu wa magari ya LandRoverFestival2024

Arusha: Tazama balaa la msafara mrefu wa magari ya LandRoverFestival2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Nami nilikuwepo.
9fc7e37deaf14a28b26ea5a673a11eb1.jpg
 
Hata hivyo hilo tamasha limeandaliwa na uk embassy, bashite Yuko kama chambo TU
kama tamasha limeandaliwa na UK embassy, basi wamefanya jambo jema sana na bashite hatuwezi kuondoka bila kumpa maua yake. that means soon tutaliona BBC na CNN.
 
arusha inafunguka kwa kasi ya hali ya juu wallah

ajabu mawakala wa chadema huko kwenye kuandikisha wanakosa hata chakula cha mchana na maji ya kunywa ukitaka kuamini chadema ni watu wa hovyo
 
Kwenye Utalii gari zinazotumika nying ni Land Cruiser. Hii ya Makonda hata sikufahamu malengu yake hasa yalikuwa nini, mara mwalimu nyerere memorial wewe unasema utalii.
Anyway, ni makonda who cares.
 
Back
Top Bottom