Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
Leo magari 300 yamefika Arusha national park. Lengo ni watu wengi watalii na si magari.Kwenye Utalii gari zinazotumika nying ni Land Cruiser. Hii ya Makonda hata sikufahamu malengu yake hasa yalikuwa nini, mara mwalimu nyerere memorial wewe unasema utalii.
Anyway, ni makonda who cares.