Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Wafanyabiashara wa maduka jijini Arusha wafunga maduka yao na kuitisha kikao cha dharura kutaka kuandamana baada ya kuambiwa na jiji kuwa hakuna ruhusa ya kutoa (kudisplay) bidhaa zao nje ya maduka yao bali ni ndani ya maduka tu. Hakuna ruhusa ya Kutoa hata mdoli wa nguo nje au pochi nje ya maduka yao, Yani samples
Hadi muda huu maduka yamefungwa yote
I
Hadi muda huu maduka yamefungwa yote