Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo kuna kitu yanajua.Niko hapa sasa hivi kwenye kababy walker changu Toyota yaris navizia shift ya nne kwenda kudeliver msosi. Hadi na maliza saa sita usiku nataka nifanye shift siyo chini ya 30. Shift mmoja ni kama elfu 15-20 hivi za bongo.
Hao ndio wanasiasa wa Denmark wanatuwekea mazingira Mazur ya kupiga hela kihalali kwa kufanya kazi licha ya kutupiga kodi kubwa. Yenyewe yanaendeshaga baiskeli tu tunapishanaga nayo mtaani na sokoni na supermarket. Viwili tu yamepungukiwa ni hayaendagi kanisani na ishu ya ushoga. Isingekuwa hivyo yangekuwa PERFECT!
Babu christianiaa bado pako aliveNiko hapa sasa hivi kwenye kababy walker changu Toyota yaris navizia shift ya nne kwenda kudeliver msosi. Hadi na maliza saa sita usiku nataka nifanye shift siyo chini ya 30. Shift mmoja ni kama elfu 15-20 hivi za bongo.
Hao ndio wanasiasa wa Denmark wanatuwekea mazingira Mazur ya kupiga hela kihalali kwa kufanya kazi licha ya kutupiga kodi kubwa. Yenyewe yanaendeshaga baiskeli tu tunapishanaga nayo mtaani na sokoni na supermarket. Viwili tu yamepungukiwa ni hayaendagi kanisani na ishu ya ushoga. Isingekuwa hivyo yangekuwa PERFECT!
Maduka mengi hasa yaliyopo eneo la stend ndogo wana bidhaa nyingi kiasi kwamba hata ndani ya duka tuu hazienei. Usiku anafunika na turubali asubuh anafungua anaendelea kuuza hapo hapo barazani. Sasa kuwazuia hili litakuwa pigo kubwa sana kwao kwa upande wa serikali itaongeza kodi na ushuru maana atatakiwa kuongeza duka kama ana bidhaa ambazo hazitoshei ndani ya fremu yake. Serikali ingeliangalia hili upya waruhusiwe kuweka barazani tuu ila sio wale wa stend ndogo wanaweka mpaka barabarani. Na kama baraza ipo karibu sana na barabara basi wasiruhusiwe kabisa.
Hahaha mrangi. Pako live ni kama nchi ndani ya jiji. Majuzi tulisheherekea kichiz miaka 50 tanguBabu christianiaa bado pako alive
Ova
Htr sana paleHahaha mrangi. Pako live ni kama nchi ndani ya jiji. Majuzi tulisheherekea kichiz miaka 50 tangu
Unamsusia Mama wali na mapaja ya jogoo?! Ngoja aondoe sinia.Sasa kama wewe ni mfanyabiashara na una fremu ya biashara yako sababu ya wewe kuweka biashara yako nje ya fremu ni nini?
Alafu watu wa arusha bwana! Ujue kuweka mgomo ni sawa na kususa, Sasa unamsusia nani na kazi ni yako mwenyewe? Yani unasusa kutafuta ugali?
Viongozi ubongo topeWafanyabiashara wa maduka jijini Arusha wafunga maduka yao na kuitisha kikao cha dharura kutaka kuandamana baada ya kuambiwa na jiji kuwa hakuna ruhusa ya kutoa (kudisplay) bidhaa zao nje ya maduka yao bali ni ndani ya maduka tu. Hakuna ruhusa ya Kutoa hata mdoli wa nguo nje au pochi nje ya maduka yao, Yani samples
Hadi muda huu maduka yamefungwa yoteView attachment 2002913I
Walichekelea wamachinga usafishwa!!!View attachment 2002914wafanyabiashara wa maduka wakiwa na Kikao cha dharura
Nyumbani pangu ipo stoo, nyumbani pake mfanyabiashara ipo stoo, sasa inakuwaje dukani hana stoo! Utetezi usio na mshiko.Maduka mengi hasa yaliyopo eneo la stend ndogo wana bidhaa nyingi kiasi kwamba hata ndani ya duka tuu hazienei. Usiku anafunika na turubali asubuh anafungua anaendelea kuuza hapo hapo barazani. Sasa kuwazuia hili litakuwa pigo kubwa sana kwao kwa upande wa serikali itaongeza kodi na ushuru maana atatakiwa kuongeza duka kama ana bidhaa ambazo hazitoshei ndani ya fremu yake. Serikali ingeliangalia hili upya waruhusiwe kuweka barazani tuu ila sio wale wa stend ndogo wanaweka mpaka barabarani. Na kama baraza ipo karibu sana na barabara basi wasiruhusiwe kabisa.
anaupiga mwingi sanaMama anaiponya nchi.
Hauna uelewa na biashara, wanao elewa wanaweka sample nje na wanapo zuiliwa wanaandamana.Sasa kama wewe ni mfanyabiashara na una fremu ya biashara yako sababu ya wewe kuweka biashara yako nje ya fremu ni nini?
Alafu watu wa arusha bwana! Ujue kuweka mgomo ni sawa na kususa, Sasa unamsusia nani na kazi ni yako mwenyewe? Yani unasusa kutafuta ugali?
Acha mkome,Arusha ndiyo kitovu cha sias pinzani na walieneza maneno kwa hayati JPM kua ni dikteta hafai,naye akawa anawaambia kila mfanya biashara awe huru,wao wakaendelea kupaza sauti za kishenzi..nasema hivi acha wakome pumbavu,tena ikibidi wawe wanafungua kidirisha tu ili wasitishe tishe wataliiView attachment 2002914wafanyabiashara wa maduka wakiwa na Kikao cha dharura
Laana ya wamachinga inaanza taaratibu .Dah tulizoea ukitaka shati za mtumba ni kwa wadada na wamama flani hivi maeneo ya karibu na stendi ndogo lakini sasa hawapo tena. 😒Huko walikohamia mpaka tuzoee ni 2022..Wafanyabiashara wa maduka jijini Arusha wafunga maduka yao na kuitisha kikao cha dharura kutaka kuandamana baada ya kuambiwa na jiji kuwa hakuna ruhusa ya kutoa (kudisplay) bidhaa zao nje ya maduka yao bali ni ndani ya maduka tu. Hakuna ruhusa ya Kutoa hata mdoli wa nguo nje au pochi nje ya maduka yao, Yani samples
Hadi muda huu maduka yamefungwa yoteView attachment 2002913I
Nimepita samunge kwa wale wamama wa mbogamboga nimekuta nao wametolewa dah😒😒Wafanyabiashara wa maduka jijini Arusha wafunga maduka yao na kuitisha kikao cha dharura kutaka kuandamana baada ya kuambiwa na jiji kuwa hakuna ruhusa ya kutoa (kudisplay) bidhaa zao nje ya maduka yao bali ni ndani ya maduka tu. Hakuna ruhusa ya Kutoa hata mdoli wa nguo nje au pochi nje ya maduka yao, Yani samples
Hadi muda huu maduka yamefungwa yoteView attachment 2002913I