Arusha: Wafanyabiashara wa maduka watishia kuandama, wafunga maduka

Ukiona hivyo kuna kitu yanajua.

#MaendeleoHayanaChama
 
Babu christianiaa bado pako alive

Ova
 

Wanapaswa kuwa na store ndogo mahala...issue ni wao kuziba miundombino kama mitaro na barabara za waenda kwa miguu...
 
Kwani Halmashauri ya Jiji ipo chini ya nani?
 
Unamsusia Mama wali na mapaja ya jogoo?! Ngoja aondoe sinia.
 
Viongozi ubongo tope
 
Hapa ndio tulikuwa tunapataka, ifahamike maeneo yote ya public ni public kama unataka kutumia lazima uonyeshwe njia bora ya kutumia, halmashauri au jiji wanaweza kuangalia athari za bidhaa zako na kukukodishia baadhi ya eneo na kulipia kwa mita za mraba!! Sioni sababu ya kulalamika wakubaliani gharama kwa mita ya mraba!! Vivyo hivyo kwa dar watu wamezuia mfumo wa watembea kwa miguu kwa kuweka generators na bidhaa nje ya maduka yao bila kulipia sehemu husika hii sio sawa
 
Nyumbani pangu ipo stoo, nyumbani pake mfanyabiashara ipo stoo, sasa inakuwaje dukani hana stoo! Utetezi usio na mshiko.
 
Hauna uelewa na biashara, wanao elewa wanaweka sample nje na wanapo zuiliwa wanaandamana.
 
Wasuse ili wasiuze. Wajinga sana hawa. Mikoa ya Dodoma na Dar iige kinachofanyika Arusha.
 
View attachment 2002914wafanyabiashara wa maduka wakiwa na Kikao cha dharura
Acha mkome,Arusha ndiyo kitovu cha sias pinzani na walieneza maneno kwa hayati JPM kua ni dikteta hafai,naye akawa anawaambia kila mfanya biashara awe huru,wao wakaendelea kupaza sauti za kishenzi..nasema hivi acha wakome pumbavu,tena ikibidi wawe wanafungua kidirisha tu ili wasitishe tishe watalii
 
Laana ya wamachinga inaanza taaratibu .Dah tulizoea ukitaka shati za mtumba ni kwa wadada na wamama flani hivi maeneo ya karibu na stendi ndogo lakini sasa hawapo tena. 😒Huko walikohamia mpaka tuzoee ni 2022..
 
Nimepita samunge kwa wale wamama wa mbogamboga nimekuta nao wametolewa dah😒😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…