Arusha: Walimu wote wa Serikali watakiwa kujitokeza uwanjani kesho Sheikh Amri Abeid kumpokea na kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM

Yaani kupoteza muda kumsikiliza kiazi Chongoro
 
To be honest, kwa Tanzanian, ualimu sio kazi

ni umaskini tu unatufanya tuung'ang'anie, hasa shule za serikali

Walimu hawana misimamo, Hadi mtendaji wa Kijiji (form four failure anawatingisha)

Hii hapana,
Shida ni viongozi katika chama chao waliopale ni mliki tu ,pia ni namna walimu wenyewe wasivyojidhamini, yani wapo wapo kujipendekeza na kutaka vitu vyepesi , awa ni watu muhimu ila hajitambui kabisa wapo wapo tu,
 
Cheki hili tikiti
 
Maoni yeni nimeyaona kwenye comment yangu....Karibuni wote kwenye mkutano na kama upo nje ya Arusha usisite pia kufuatilia kwenye TV...
 
Hujitambui
 
Hata wao mioyoni mwao hawaupendi uongozi uliopo sema tu wataenda ili kulinda ajira zao
 
Watakuwa hawana akili kama wakienda. Anyways si ndio huwa wanashiriki kuiba kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…