Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vile hadhi ya Waalimu imeshuka kuliko ya Wanafunzi wao.. ndio sababu mojawapo ya morali yao ya kazi kushuka sana..Ndiyo maana kada ya Ualimu inadharaulika sana hapa nchini , mqana waalimu wamefanywa kama watoto wadogo wa shule ya msingi.
Cc Mpwayungu Village
Yaani kupoteza muda kumsikiliza kiazi ChongoroKuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo.
NB:
Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara hiyo.
Cc: Mpwayungu Village
Shida ni viongozi katika chama chao waliopale ni mliki tu ,pia ni namna walimu wenyewe wasivyojidhamini, yani wapo wapo kujipendekeza na kutaka vitu vyepesi , awa ni watu muhimu ila hajitambui kabisa wapo wapo tu,To be honest, kwa Tanzanian, ualimu sio kazi
ni umaskini tu unatufanya tuung'ang'anie, hasa shule za serikali
Walimu hawana misimamo, Hadi mtendaji wa Kijiji (form four failure anawatingisha)
Hii hapana,
Cheki hili tikitiUkiwa Mtumishi wa Umma unaheshimu serikali iliyopo madarakani kwani hiyo serikali ndio Boss wako.Katibu mkuu wa CCM yupo huko Arusha Kwa niaba ya Mhe.Rais ambaye ndiye Mwenyekiti Wa Chama CCM..
Sio mbaya Kwa wao kwenda kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM...Nadhani mleta thread ni Wivu tu unakusumbua Kwa kuwa Serikali ya Mhe.Samia inavyofanya kazi nzuri na unajua Mkutano huo unaenda kuvuruga kila kitu huko Arusha..
CCM inapendwa sana,Serikali ya Mhe.Dkt.Samia inapendwa sana na inazidi kufanya makubwa Kwa Walimu na Watumishi wote wa Umma..
Hakuna benefits watakazomkata Kwa sababu waalimu hawanaga hizo benefits watamkamatia wapi? Kazini anaenda on time, vipindi anafundisha, akiwa zamu anakuwa punctual. Finish.Atafanyiwa visa hadi akome.
HujitambuiUkiwa Mtumishi wa Umma unaheshimu serikali iliyopo madarakani kwani hiyo serikali ndio Boss wako.Katibu mkuu wa CCM yupo huko Arusha Kwa niaba ya Mhe.Rais ambaye ndiye Mwenyekiti Wa Chama CCM..
Sio mbaya Kwa wao kwenda kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM...Nadhani mleta thread ni Wivu tu unakusumbua Kwa kuwa Serikali ya Mhe.Samia inavyofanya kazi nzuri na unajua Mkutano huo unaenda kuvuruga kila kitu huko Arusha..
CCM inapendwa sana,Serikali ya Mhe.Dkt.Samia inapendwa sana na inazidi kufanya makubwa Kwa Walimu na Watumishi wote wa Umma..
ACHA kufananisha tikiti na vitu vya kijinga...Cheki hili tikiti
Hata wao mioyoni mwao hawaupendi uongozi uliopo sema tu wataenda ili kulinda ajira zaoKuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo.
NB:
Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara hiyo.
Cc: Mpwayungu Village
Kuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo.
NB:
Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara hiyo.
Cc: Mpwayungu Village
SitoiLast time walichangishwa PESA YA MWENGE na Haina risiti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huku kwetu waliambiwa washone na nguo Za kijani zenye nembo ya ccm na picha ya samia kwa gharama zao wenyewe Kwenda kumsikiliza mwenyekiti wa uwt.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nashauri Tu Mtetezi Wao Comrade mpwayungu village Apeleke Hoja Bungeni Hadhi, Heshma Ya Walimu Irudishwe
Wanafukuzwa kazi